Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 581
- 642
"Harakati za kudai haki za wasanii zilianza muda tuu...tangu kipindi cha ukusanyaji wa maoni na tume ya jaji warioba lakini kwa hali isiyo ya kawaida Rasimu iliyotolewa na tume hiyo haikuzungumza chochote kuhusu masuala ya wasanii....hapo tulianza ukurasa wa pili wa kutafuta haki zetu na tuliamua kupeleka hoja zetu kwa mwenyekiti wa bunge maalum la Katiba na kwa busara za bunge hilo sasa wasanii tutajidai kwani Katiba Inayopendekezwa imetaja waziwazi haki za wasanii, huu ni mwanzo mzuri na wasanii tunashukuru sana kwa hilo" Sehemu ya maneno aliyoyasema Msanii huyo wakati wa Tamasha la UZALENGO lililofanyika zanzibar...