Nikiwa Tz nitumie mtandao gani wa mawasiliano?

wewe njoo bongo nenda kariakoo mtaa wa green uliza hyo cmu yan zipo hata line 6 wewe unashangaa 3 na 4 wewe njoo alafu ulizia utapata hii ndo tanzania kilaki2 kipo baba yake wewe 2
Yaani napata faraja humu siwezi sema uongo!
The pro iz hiyo handset ya kuoparate 5,6 lines inayo ubora mzuri?
by the way Thank u.
 
Mimi nakushauri utumie vodacom haina jam na inapatikana maeneo mengi sana. Mimi mwenye nilikua natumia tigo tangu mwaka 2005 lakini nimechoshwa na matatizo ya mtandao unaweza ukawa na mtu pamoja ukimpigia unaambiwa hapatikani. Lakini pia ukitumia tigo kama uko safarini mkianza kuzipoteza nyumba tu ujue imekula kwako-utaambiwa no network coverage. Sasa nimeamua kutumia vodacom kwa raha zangu..
Ahsante kwa ushauri wako mzuri.
 
Back
Top Bottom