Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Hahahaa! Marketing officer wa Usninyo Biggie consults!.......wewe ni kama mm. Karibu partnerWe ndevu huku wenzio tunatumia mitandao yote.
Mtu mmoja mitandao minne. Ila
Mi nakushauri utumie zantel, hawana longo longo.
Utuletee zawadi eeh.
Halafu ushajua usome gazeti gani eeh?
Maeneo ya kujidai je?
Vyakula ule nini?
Viatu na nguo uvae vipi?
Ucheke na nani?
Ufikie wapi?
Nasubiri sredi zake hizo.
Nipo tayari kutoa ushauri. Jisikie kama ushafika nyumbani.