Nikiwa Tz nitumie mtandao gani wa mawasiliano?

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
379
40
Habari zenu wana JF!
Poleni na matatizo ya hapo nyumbani!
Tutaijenga nji yetu japo itatuchukua miaka mingi...naamini itatukuka!
Hivi huku nimezoeea mawasiliano bila kero...
Je nkiwa huko Tz nitumie mawasiliano kupitia kampyni gani ya simu?
Nawaombeni waungwana mniwasilishie.
Mniju.....
 
Inategemea marafiki zako wako mitandao gani, sema hapa bongo sio kama huko, hapa watu wengi wana line tatu; Tigo, Voda na Airtel. Kama upo China basi njoo na simu ya line tatu, kama UK au US basi njoo na handsets tatu
 
Nipo canada member!
Hata nafear about ma handset...kama itaweza function huko!
Thank you for your advice.
 
Nipo canada member!
Hata nafear about ma handset...kama itaweza function huko!
Thank you for your advice.

Nyingi ukifika unaziunlock we njoo na Iphone; au HTC you cant go wrong; Lakini since issue ni mawasiliano tu unaweza ukaja na simu moja ya maana nyingine ukanunua hukuhuku kuna visimu vya promosheni bei yake ni only 35,000/= kwahiyo unaweza ukacover mitandao yote
 
Voice of Reason,
Nikifika nitakutafuta unisaidie ku unlock simu yangu. Last time nilikuja nayo ikabidi ninunue ki-twanga pepeta cha bongo.
 
We ndevu huku wenzio tunatumia mitandao yote.
Mtu mmoja mitandao minne. Ila
Mi nakushauri utumie zantel, hawana longo longo.
Utuletee zawadi eeh.

Halafu ushajua usome gazeti gani eeh?
Maeneo ya kujidai je?
Vyakula ule nini?
Viatu na nguo uvae vipi?
Ucheke na nani?
Ufikie wapi?
Nasubiri sredi zake hizo.
Nipo tayari kutoa ushauri. Jisikie kama ushafika nyumbani.
 
Voice of Reason,
Nikifika nitakutafuta unisaidie ku unlock simu yangu. Last time nilikuja nayo ikabidi ninunue ki-twanga pepeta cha bongo.
Hakuna neno, bongo wengi tu wanafanya Unlocking na kama upo UK mara nyingi simu za Vodafone, T-Mobile na Orange zinafanya huku hata bila ku-unlock
 
We ndevu huku wenzio tunatumia mitandao yote.
Mtu mmoja mitandao minne. Ila
Mi nakushauri utumie zantel, hawana longo longo.
Utuletee zawadi eeh.
Hawa Zantel nawapendea kupiga simu nje ni bei rahisi yaani tshs 3 kwa dakika..., kwahiyo huu nadhani utakufaa kuwakumbuka jamaa zako wa Canada
 
We ndevu huku wenzio tunatumia mitandao yote.
Mtu mmoja mitandao minne. Ila
Mi nakushauri utumie zantel, hawana longo longo.
Utuletee zawadi eeh.

Halafu ushajua usome gazeti gani eeh?
Maeneo ya kujidai je?
Vyakula ule nini?
Viatu na nguo uvae vipi?
Ucheke na nani?
Ufikie wapi?
Nasubiri sredi zake hizo.
Nipo tayari kutoa ushauri. Jisikie kama ushafika nyumbani.

Ahsante mpendwa kwa huruma zako.
Ntapenda nkiwasili pia uje n'pokea.
Zawadi gani ungezipenda n'kuzawadie?
Kama una m*me naomba uchangie threads zangu bt zawadi na kuja n'pokea usije ili niepushe matatizo!
Inawezekana nkakosa yatayonleta na kunrudisha...maana nasoma na kusikia wabongo hawasikii ya mnadi adhana na wala hawaambiliki...mambo siku hizi si mambo.
Magazeti tayari nimeyafahamu ambayo ntapofika huko Tz ntakua n'kiyasoma.
Hayo yote ulon'shauri kweli nlikua najiuliza wapi ntaenda japo kunywa soda na kutazama tazama na ......!
Naamini didiva,nguli'x-pastor na members wengine hope we'll be together anyway.
 
Hawa Zantel nawapendea kupiga simu nje ni bei rahisi yaani tshs 3 kwa dakika..., kwahiyo huu nadhani utakufaa kuwakumbuka jamaa zako wa Canada
Nashukuru members kwa ushauri wenu.
Hivi naweza kuja na lap-top yangu ndogo? Au nije na hiyo hiyo handset yangu itatosha?
Maana huku mimi muda wote na-tazama zaidi humu JF kwa kua napata habari zote vzuri za home 2z.
 
Njoo na desktop na inverter umemem wa tabu... 12hrs outage.. :roll:
 
Ahsante mpendwa kwa huruma zako.
Ntapenda nkiwasili pia uje n'pokea.
Zawadi gani ungezipenda n'kuzawadie?
Kama una m*me naomba uchangie threads zangu bt zawadi na kuja n'pokea usije ili niepushe matatizo!
Inawezekana nkakosa yatayonleta na kunrudisha...maana nasoma na kusikia wabongo hawasikii ya mnadi adhana na wala hawaambiliki...mambo siku hizi si mambo.
Magazeti tayari nimeyafahamu ambayo ntapofika huko Tz ntakua n'kiyasoma.
Hayo yote ulon'shauri kweli nlikua najiuliza wapi ntaenda japo kunywa soda na kutazama tazama na ......!
Naamini didiva,nguli'x-pastor na members wengine hope we'll be together anyway.

haya, tutajiogarnize jf tuje tukupokee.
Tutakuja na matarumbeta. Sawa eeh?
Nimemteua VOR ataongoza msafari.
Halafu zawadi ni zawadi.
Wabongo ndio hawana noma, urudi na bodigadi la kizungu.
Siku hizi huku kila mtu ana bodyguard wake.
 
Nashukuru members kwa ushauri wenu.
Hivi naweza kuja na lap-top yangu ndogo? Au nije na hiyo hiyo handset yangu itatosha?
Maana huku mimi muda wote na-tazama zaidi humu JF kwa kua napata habari zote vzuri za home 2z.

Kwani na gharama zinatgemea mtandao utaoutumia?
Njoo na vyote sababu hata mimi hapa nina vyote natumia mobile nikiwa njiani lakini nikiwa home nina-prefer kutumia laptop (pia ukiweza njoo na usb internet modem am sure UK ya Vodafone unaweza kupata kwa 10 pounds, lakini hata huku sio bei sana ni kwenye elfu 55)

Kuhusu bei ya simu ni kama huko ulipo, ukipiga simu mtandao unaofanana voda to voda; au tigo to tigo n.k. ni bei rahisi kuliko ukipiga simu kwenye mtandao mwingine, hence faida ya kuwa na mitandao mingi
 
huyu mleta sredi nae kwa majivuno utafikiri yupo kanada kweli kumbe yupo kishimundu kama sio maneromango

acha zako bwana , viswali vyako havina kichwa wala miguu
 
huyu mleta sredi nae kwa majivuno utafikiri yupo kanada kweli kumbe yupo kishimundu kama sio maneromango

acha zako bwana , viswali vyako havina kichwa wala miguu

mmmh!
Isije ikawa nipo nae huku mpwapwa.
Lol!
 
Back
Top Bottom