Nikiwa Mod Leo

Mini naanza na Vivian

Sijui nilisahauje. Yaani wewe ni No. Moja kwenye list ya Burn. Natamani hata Nichangishe pesa kutoka kwa members huku kuwezesha mawasiliano na Mods upewe burn hata sasa hivi.
 
Hapana hakuna haja ya ban wacha watu wapambane sisi tunanzo anti foxy wala hasumbui kabisa, ukimpiga dozi moja baasi.

huyu kiumbe simuelewi kabisa. Pamoja na mateso yote haya ya mgao wa umeme bado amesimama kidete kutetea wana magamba
 
......sible nampa burn kwakua ameshindwa kuwapa watu fulani burn
 
Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?

Mimi naanza na ....foxy
Kwa kosa gani??, sidhani kama nimeshawahi kuona huyu dada amevunja sheria (unless kutetea point zako unazoziamini ni kosa)... Tena mimi ninapenda watu wenye mitizamo tofauti kuliko wale wanaounga hoja mkono...., kwahiyo cha maana ni ku-tackle hoja zao na kuonyesha kwamba wanaongea vapour
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom