Nikiumwa nitatibiwa na Rais?

Twaps

Member
May 26, 2011
50
28
Muiizaji wa kikundi cha The comedy aitwae Joseph aka Vengu agharamiwa matibabu na mh Rais hayo yamesemwa na muongozaji wa kikundi hicho leo TBC 1.
 
Unataka utibiwe na Rais kwani wewe uko Original Komedy au ni Sheikh Yahya??!!
Rais ana watu wake bwana!!
 
kwani we maarufu (msanii) mpaka rais akujue? rais anagharamia matibabu ya ..................wenzake!
 
Kwahiyo akiwa rahisi ndio asisaidie watu..kama ni maswaiba we unawashwa nini..au we ndio ulivumisha vengu kafa..roho mbaya tu kama george bush
 
Kwani raisi si binadamu kama watu wengine? Anatumia fedha zake mwenyewe,rais analipa fadhira si unajua aliwatumia sana kwenye campaign zake!!!! Acha wivu
 
Kulikuwa na wajane wengi lakini aliyeonekana ni mjane wa Sarepta na mifano mingine inayofanana na huo. Kama wewe ni msomaji wa Biblia naamini unaufahamu pamoja na wenye ukoma kama Naamani. ni maneno aliyotoa Yesu ambayo yalimfanya achukiwe. Kwahiyo Vengu ndiye aliyeonekana na Rais haupaswi kulalamika.
 
huyu vengu hana bima ya afya?mbona hiki kikundi ni waajiriwa wa tbc?
 
Muiizaji wa kikundi cha The comedy aitwae Joseph aka Vengu agharamiwa matibabu na mh Rais hayo yamesemwa na muongozaji wa kikundi hicho leo TBC 1.

Kichwa cha habari na habari haviendani
 
Back
Top Bottom