Nikitafakari ya misri,tunisia,namwona jk akikimbilia na rizi comoro!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wpendwa wenzangu kwanza nawapa pole kwa yaliowakuta wikiend na kuchoshana kwa vijiharusi visivyoisha nk...
Hakika najaribu kufikiria yanayotokea kwenye nchi hizo hapo juu jana nikiwa usingizin nimeota jk akikimbia na familia kuelekea comoro huku umati wa watu wakimwagika mnazimmoja na mji mzima kutaka aondoke na hili ni baada ya kuilipa dowans kama alivyopanga..nasema hivi kwa alie karibu nae namjulisha tu hali n ngumu uko mbele watanzania waganda sasa wameamka wamechoshwa kushtuliwa na wakenya
 
Lisemwalo lipo ila sio kwa kikwete na sio kwa watz hawa wapenda amani.
Tutamuweza kikwete?........wale wengine watoto wa mama tu hawana msimamo.....kikwete ana technics zake nzuri yaani kukaa kimya!....nyie semeniiiiii mwisho mtachoka kwani nano asiyewajua wabongo kwa kichonga?......yule sadamu huseni, yule wa tunisia, mubarak ni watoto wa mama tu......kikwete nnavyomjua atafanya km gbagbo wa ivory coast yaani kiburi.....na kukimbilia kwenda kunywa chai ulaya na kubembea jamaica........
 
Tunisia is coming here, I tell you People. Najifua kukabiliana ana kwa ana na Rostam Aziz na Lowassa, niwapige bare knuckles hadi mtu anye. Amin, amin nakwambieni, vurugu ziko hatua chache toka leo hii. Na zikianza hazizuilik kirahisi!! Si vyema kubaki mashokoa kama tulivyo sasa. Tuamkeni Watanzania!!
 
ametumia gharama kubwa kupeleka askari wetu vitani komoro wanakomwita mwekezaji mkuu! ntamsubiri feri na kipande cha tofali!
 
Kila nikisomaga post kama hizi huwa nakumbuka lile shairi la mkongwe Andanenga la 'Samaki wakasirika'

Watanzania ni wapole sana lakini huu upole huu nina mashaka nao sana.
Ipo siku watu watacharuka na hapo hakutokuwa na kifaru wala ndege za kivita ambazo zitarudisha nyuma msimamo wa Watanzania hao.
 
Ofisi kuu ya chama cha Mafisadi ni lazima iende kwa kiberiti na moto.
Magari ya chama cha mafisadi yote kiberiti
Ofisi ya Fisadi wetu RA na MAgari yake yote kule migoni nilazima yapigwe kiberiti.
Mali za RA zote kiberiti
Kuna Mahekalu kibao ya listi ya wezi wa TRA na BOT yatapigwa viberiti libakie jivu.

Wao wakose sisi tukose ufaidi moto

Ni vema waanze kuandaa pa kufikia huko ughaibuni ambako nako We will never leave them alone.
 
Back
Top Bottom