Nikita

Dah basically season 2 imeisha na inakuja season 3 very soon ambapo Ryan anakuwa boss wa Division huku upande wa pili wakiibuka maadui wengine baada ya Percy kufa na kwa mbaaali Amanda ni never say die na tena bado ana kibox kimoja kati ya vile vilivyokuwa na siri za division soo kuna kila dalili bado ataendelea kuwa kwenye sakata.

Team Nikita imerudi tena division pamoja na kwamba walipewa nafasi ya kuendelea na maisha yao baada ya kuwa cleared lakini Nikita akajikuta hawezi kwenda kokote coz maisha yake ni ndani ya division, nje ya hapo she knows nothing. Shadow walker ended up kissing Sonya..............
...hii ngoja niicgie chimbo nishushe mzigo kitu..1080...mkv..fasta...hivi nani anayo The Event..seson 2@M'Jr
 
Hivi hii ndo Yule mwandishi maarufu wa riwaya kwenye Magazeti aliwahi toa simulizi zake? Kuna story flani nliwahi kuisoma, inaitwa NIKITA kwenye magazeti ya Ijumaa. Anyways wacha niisake, nliiona kwa kava la juu, nkaizimikia, now I can feel utamu wake hata kabla sijaiona
 
...hii ngoja niicgie chimbo nishushe mzigo kitu..1080...mkv..fasta...hivi nani anayo The Event..seson 2@M'Jr
mtu chake
The Event season 2 haijatoka bado maana nimeitafuta sana lakini haipatikani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom