NIKITA S02e23

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Heshima kwanza wana jamvi naomba kama kuna mtu anayo au anajua pakupata nikita s02e23 anisaidie link na namna ya kudownload msisitizo iwe ya bure manake uchumi sio mzuri na bajeti natumai mmeiona bia tayari juu.
Asanteni
 
mm ninazo hadi season 3,sijui nitakupaje mdau.
season 3 bado haijatoka mkuu...ya mwisho ndo hiyo s02e23..usidanganyike na dvd za kichina wanazoweka apisode 10 afu wanaita season moja wakati season za nikita zote zina episode 23 kila moja na mwisho ni season 2!! season 3 naskia hadi mwezi wa 9 sijui...sina hakika!!
 
Mkuu sijui nini nimekwama kwenye hiyo link uliyonipa nashindwa kudownload inazingua msaada zaidi plz
 
Last edited by a moderator:
Link ya Utorrent ingia hapa : Download uTorrent 3.2.1 Beta 27554 - FileHippo.com click palipoandikwa download latest version. install then ifunge tu achana nayo.
Link ya nikita hii hapa : Download Nikita S02E23 HDTV XviD AFG[ettv] Torrent - KickassTorrents click palipoandikwa download torrent... itadownload ka file kadogo sana but ikimaliza kafungue hako ka file then itafunguka kwa utorrent automatically then we click ok then acha iendelee kudownload yenyewe tartibu...uzuri wake ni kuwa hata ukizima pc ..badae ukija yenyewe inaendelea kudownload kama ilikuwa haijamaliza..unaweza pause, stop na ku resume anytime!! goodluck..
 
Mkuu sijui nini nashukuru imeanza kudownload asante sana vipi hivi haiwezi kutumia IDM naona kama iko slow sana na IDM yangu haikuweza kunasa wakati naanza kudownload.
 
Last edited by a moderator:
kwa taarifa nilizosoma mtandao mmoja....nikita season two, iliishia episode 23, season three imekuwa na utata wa kuendelea kwasababu CW tv, iliyokuwa inarusha tamthiliya hiyo, imeshindwa kurusha tena kwasababu viewer rating zilikuwa ndogo. (6%/ 8% kama sijasahau) hivyo kusomeka kuwa nikita haina washabiki wa kuitazama, hivyo kupelekea kuachana nayo. ila watu wakawa wanalalamika kuwa hii kitu ya akina alex, michael na amanda, inapendwa tatizo inarushwa muda mbovu, yaani ijumaa, tena usiku (friday night) watu wakiwa kuparty, hivyo kupelekea wengi wao kuishia kufuatilia mp4, xvid, na flv zilizorekodiwa SASA SIJUI KAMA WATABADILISHA MAAMUZI NA KUIRUDISHA HEWANI. hichi kitu mi kinaniudhi sana tena sana, SASA SIJUI NA GAME OF THRONES NAYO RATINGS NI NDOGO! COZ HAWAIONESHI TENA..............SIPENDI KUANGALIA SEASONS NUSU NUSU.....
 
Mkuu sijui nini nashukuru imeanza kudownload asante sana vipi hivi haiwezi kutumia IDM naona kama iko slow sana na IDM yangu haikuweza kunasa wakati naanza kudownload.

pole,hiyo sio kama idm..spidi yake ni kawaida tu na pia ikiwa utafunga vitu vngne vnavyotumia internet na kuiacha yenyewe tu spidi inaongezeka..uzur ni kwamba kwa njia hiyo unaweza kupata vitu vingi sana bure online..na tatzo lake ndo hilo uwe mvumiliv..mi huwa naitumia kudownload vtu vkubwakubwa kama ma game hiv nachukua cku 3 mpaka wiki kulingana na ukubwa bt ikianga atlist nakuwa na uhakika kuwa itamaliza..
 
Last edited by a moderator:
uzur ni kwamba kwa njia hiyo unaweza kupata vitu vingi sana bure online..na tatzo lake ndo hilo uwe mvumiliv..mi huwa naitumia kudownload vtu vkubwakubwa kama ma game hiv nachukua cku 3 mpaka wiki kulingana na ukubwa bt ikianga atlist nakuwa na uhakika kuwa itamaliza..

umeona eh?? nilidownload smallville season zote 10 na miezi mitano (70+gb). patience ni lazima ukitaka vitu vizuri
 
Duuu!!!! miezi mi tano unasubiliaga tu!! kweli inahitaji moyo
 
sasa mkuu hata ukizidownload zote kwa siku moja utwaeza kuziangalia zote siku moja ukamaliza?? ishu inabaki palepale..unadownload kidgokidogo huku unaziangalia taratibu mpaka kama alivyosema..hamaanishi alikaa miezi yote mitano kusubiri hadi ziishe ndo uanze kuangalia..mfano mimi saiz nadownload series ya vampire diearies (ndo nimeanza kuzifuatilia juzjuz) na sasa wakati naangalia epsode 1 na 2 huku naendelea kudownload epsode 2 n 4, zikiisha hizo naruhusu 5 na 6 mpaka namaliza...uzuri ni kwamba kwa muvi za siries kama hizi (hata vitu vingine vyenye files nyingi)unaweza ukaset iwe inadownload epsode moja moja mpka unamaliza huku unaendelea kuchek nyingine...
 
  • Thanks
Reactions: leh

sasa hapo mkuu umenitoa tongotongo machoni. Nikinunua laptop ntarudi kwa DARASA zaidi
 
season 3 bado haijatoka mkuu...ya mwisho ndo hiyo s02e23..usidanganyike na dvd za kichina wanazoweka apisode 10 afu wanaita season moja wakati season za nikita zote zina episode 23 kila moja na mwisho ni season 2!! season 3 naskia hadi mwezi wa 9 sijui...sina hakika!!

Mkuu sidhani kama watatoa season three maana ilipoishia nafukiri mission accomplished. Otherwise waje na idea nyingine
 
sasa mkuu hata ukizidownload zote kwa siku moja utwaeza kuziangalia zote siku moja ukamaliza?? ishu inabaki palepale..unadownload kidgokidogo huku unaziangalia taratibu mpaka kama alivyosema..hamaanishi alikaa miezi yote mitano kusubiri hadi ziishe ndo uanze kuangalia..mfano mimi saiz nadownload series ya vampire diearies (ndo nimeanza kuzifuatilia juzjuz) na sasa wakati naangalia epsode 1 na 2 huku naendelea kudownload epsode 2 n 4, zikiisha hizo naruhusu 5 na 6 mpaka namaliza...uzuri ni kwamba kwa muvi za siries kama hizi (hata vitu vingine vyenye files nyingi)unaweza ukaset iwe inadownload epsode moja moja mpka unamaliza huku unaendelea kuchek nyingine...

yeah, kama sijui nini anavyosema, unaingia ndani ya torrent unachagua episode moja moja unaendelea kudownload ecko kwako sijui nini kwa kujua hiyo trick ya kudownload torrents kwa bits
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sidhani kama watatoa season three maana ilipoishia nafukiri mission accomplished. Otherwise waje na idea nyingine

Mkuu si unajua Amanda ana ule mzigo wa black box. Nadhani bado inatakiwa iendelee!
 
Bado haijakuwa on air but nilipata za down ov kapet kwamba iko tayr bad kupeperushwa 2....
 
Back
Top Bottom