nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
- Thread starter
- #41
Kuna kitu nime note...ntaendelea kufanyia utafiti;
Rafiki yangu pia ana watoto wawili wa kike...mkubwa yuko close na baba; mdogo close na mama;
Isije kuwa ndivyo inavyokuwa...nikimpata mtu wa tatu nta confirm hii theory. Lol.
Rafiki yangu pia ana watoto wawili wa kike...mkubwa yuko close na baba; mdogo close na mama;
Isije kuwa ndivyo inavyokuwa...nikimpata mtu wa tatu nta confirm hii theory. Lol.
sisi watoto wetu wamejikuta au siju tumejikuta tumegawana yule mkubwa yupo karibu sana na baba yake,yu can imagine hata chupi ikimbana alikuwa anamwambi baba chupi imenibana,mdogo yupo sana kiziwanda na mama pembeni,ila still wen it cums to ishu kama mnataka kwenda sehemu flani na baba au na mama wanakimbilia na baba!
yani binti yangu mkubwa na baba yake mpk huwa tunamwita dadababa!