Nikinywa Pombe Silewi, je ni tatizo la kiafya au ni faida?

Konyagi 2 hulewi? Konyagi zipi hizo ngumu kumeza au viroba vya jero 2? Huwezi piga bapa 2 kubwa alafu akiri ibaki vilevile,basi kunywa kreti ya Prisna 'UKAWA' napo uone kama hulewi.
 
Nimejaribu pombe za aina mbalimbali
Acha hizo wewe,unakunywa vipombe vyako vya buku jero unasema hulewi........Tafuta hii kitu,kama hata kisoda utamaliza hujafa au nafuu yako kupata uchizi wa muda.
alcohol-spirytus-polish.jpg
 
Acha hizo wewe,unakunywa vipombe vyako vya buku jero unasema hulewi........Tafuta hii kitu,kama hata kisoda utamaliza hujafa au nafuu yako kupata uchizi wa muda.
alcohol-spirytus-polish.jpg
Tatizo lenu ni vigumu kuamini bali mnabisha tu. Kila pombe silewi.
 
Hivi wewe unakielewa unachokiongea lakini ........ Maana yake hii kitu niliyokuwekea kama hulewi,basi pia wewe hufi na hautokuja kufa. Hebu pitia hapa uone.
http://www.couriermail.com.au/news/...r-deadly-spirits/story-e6freoof-1226244534802
Ndugu sijabisha kiasi cha kilevi ktk hicho kinywaji. Najua kweli ni hatari na kinaweza kuua...lakini mm lengo langu sio kutambua aidha hichi kilevi kinaua au la. Mimi nina tatizo la kutolewa na nilitaka tu kujua kama ni kitu kizuri au kibaya kiafya. Vilevi mbona vipo vingi... lkn mm huwa silewagi. Hivyo tu.
 
Wewe unachelewa kulewa sio kwamba HAIWEZEKANI UKALEWA, na ndio maana nimejaribu kukubadilishia dozi ya pombe iliyozaidi ya zile ulizozizoea.Kunywa hiyo halafu njoo hapa useme bado hulewi ndio nitaamini kweli wewe si binadamu,ila ni kiumbe kinachotoka sayari nyingine.
 
Kunakipnd nilikuwa nakunya cesto kama 4 silewe nikasema leo ngoja nipige konyagi weeeeeeee nikapiga tusichana 3 na kiloba kimoja nilipotezaa kama masaa 6 paka jamaaa zangu wakapagawa
 
Mi zamani nilikuwa nikionja tu nalewa lakini siku hizi hata nikinywa 4 sisikii km nimekunywa. Hadi najiuliza hizi bia siku wameanza kuzichakachua au zimeisha muda wake!!!
 
Hivi kama.unakunywa.then.hulewi ,unakunywa za nn.sasa??

Raha ya pombe n kulewa sio kuzima na.kuwa mzima

Rahaa ya pombe ni.hisia za tofait unazo.zipata ktk.brain,
Pombe rahaa

Pale inapo anza kukolea vema kichwan huwa inasolve matatizo ya mswali.meng ya mchana...pombe n soln

Pombe vilevile ina cost aisee,inafilisi

Sasa kama.hulewi.si.bora uache kunywa hata novida sh600
 
Nilikuwa nakunywa kama kujifanyia utafiti. Lkn nilivyogundua silewi basi nakunywa malt tuuu
 
Back
Top Bottom