Nikinywa Pombe Silewi, je ni tatizo la kiafya au ni faida?

Gongo tumenyweshwa sana na mama utotoni kama dawa ya minyoo (ila kipindi hiki hatengenezi). Sijawahi kulewa
Dah! Ndio maana hulewi,kimbe ulevi umeanza toka utotoni. Wewe ni mlevi mzowefu, ulevi umeshakuzowea. Bwia unga mkuu.
 
Dah! Ndio maana hulewi,kimbe ulevi umeanza toka utotoni. Wewe ni mlevi mzowefu, ulevi umeshakuzowea. Bwia unga mkuu.
Hatukuwa tunalewa mkuu... tulikuwa tunanyweshwa kisoda kimoja tu kama dawa ya minyoo... Unga sitaki hata kuusikia. Na sio kwamba lengo langu ni kutaka niwe nalewa. Hapana...lengo langu ni kujua tu sababu ya hilo tatizo na kama lina madhara kiafya.
 
inategemea na vitu viwili hapo,kwanza physically upoje,kama ni mtu mwenye misuli mingi,kulewa si rahisi!!kingine yawezekana una tolerance kubwa,umeanza ln unywaji??
 
inategemea na vitu viwili hapo,kwanza physically upoje,kama ni mtu mwenye misuli mingi,kulewa si rahisi!!kingine yawezekana una tolerance kubwa,umeanza ln unywaji??
Yaan kwenye misuli walaa... mm ni kimbaumbau wachaa. Kunywa pombe kwa kiasi kikubwa wala sijakunywa mara nyingi. Nilikunywa kama mara mbili nilivyoona sijalewa nikaanza kunywa vilevi mbalimbali ili nijue ni kipi kinaweza kunilewesha lkn sijapata hata kimoja. Na hivi sasa baada ya kugundua silewi basi situmii hivyo vilevi maana naona havina maana tena kwangu.
 
Back
Top Bottom