Nikinywa pombe nachelewa sana kukojoa 'kupizi'

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Ni mnywaji mzuri tu wa pombe hasa hizi aina ya spirit, Konyagi, Wisky na wakati mwingine Castle ya baridi sana.
Lakini tatizo langu ni kwamba nachelewa mno kukojoa (kupizi) wakati wa mechi, tatizo ni nini?

Nijuzeni tafadhari.
 
Nilifikiri watu wanatafuta kuchelewa ili kurefusha starehe na kuwafikisha wenzi wao!
 
Ni mnywaji mzuri tu wa pombe hasa hizi aina ya spirit, Konyagi, Wisky na wakati mwingine Castle ya baridi sana.
Lakini tatizo langu ni kwamba nachelewa mno kukojoa (kupizi) wakati wa mechi, tatizo ni nini?

Nijuzeni tafadhari.
kumbe tatizo unalijua
 
Mimi huwa naharisha sana. Nimeamua kustop kidogo! kwako wewe inabidi uwe unachanganya na soda kidogo kama hupendi kuchelewa kupiga bao.
 
Ni mnywaji mzuri tu wa pombe hasa hizi aina ya spirit, Konyagi, Wisky na wakati mwingine Castle ya baridi sana.
Lakini tatizo langu ni kwamba nachelewa mno kukojoa (kupizi) wakati wa mechi, tatizo ni nini?

Nijuzeni tafadhari.

Thread za namna hii zina-bore sana.I don't think we need this rubbish.
 
Una haraka gani kama una ndowa yako halali! LAKINI,
kwanini unafanya tendo la ndowa ukiwa umekunywa pombe?
Unamtiya majaribuni mkewo kwa kumpulia pumzi yenye harufu mbaya ya pombe, huwo ni unyanyasaji na ubabe katika mahusiano ya kijisiya.
kwa vile umejitambuwa, panga ratiba yako vema ama achana kubwiya ulabu. Pole sana, umechaguwa fungu hilo?:thinking:
 
Lugha hiyo mkuu!
Ndowa, kubwiya, mkewo, huwo.etc
 
Kumbe nianze kunywa hizo pombe....lol

Hahahahahahaha usipitilize tu ukasahau kama una mwenzio kitandani na kuanza kukoroma LOL! au Mwenzio akaja juu siku hizi unachelewa sana miye naumia sipendi ukichelewa sana :) That is very normal Big Bro

Hilo sio tatizo.

Alcohol inafanya brain itumie mda zaidi kupata hisia. ndo maana unakua husikii baridi, hata ukiungua husikii maumivu makali,

Alcohol inafanya brain yako isiwe effective as a sober person, ndo maana ukiongea na mlevi lazima umpigie kelele ndo asikie,

that is why ukiwa alcoholic inakuwa vigumu kupewa nusu kaputi.

It happens kwa kila mtu, ukitaka kuwahi kupizi drink a lot of water then spend more time on foreplay like an hour ili brain yako iwe irudi katika hali ya kawaida.
 
Kunywa nying zaidi sana sana, ili upoteze na hamu ya tendo lenyewe kabisaaaa, nadhani takusadia kwa upande wa pili
 
lugha hiyo mkuu!
Ndowa, kubwiya, mkewo, huwo.etc

sijui itakuwa kabila gani?
Huwo ndiwo ukomavu wa lugha ya kiswahili usiodondosha fonimu.
Kama nawo ni msamiati wahoji wanazuoni wataondowa utando. :spider:
 
Yaani umeuliza swali na umejijibu mwenyewe,umeshasema unakunywa pombe then hapo hapo unajijibu.........so umeshajuwa pombe kali hizo ndio maana unachelewa kufika
 
Back
Top Bottom