Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii
 
Hiyo huwa inatokea sana kwa watu na tena kama mnaonana mara nyingi lazima mtabanjuana siku moja.kama unataka kushinda majaribu keep distance.that's all
 
Bado unampenda, kaa mbali kaka yasije kukupata makubwa,hiyo chapter yenu ilishafungwa
 
Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii

Inaelekea bado unampenda...hakuna ubaya roho yako kushtuka ila mshtuko huo ubaki kuwa ni mshtuko tu na usiufanyie kazi :):)
 
usha mwambia hilo? inawezekana na yeye ni hivyo hivyo. mpigie simu umtukane kisha mgombane, mkionana mkasirikiane, kisha no more kushituka ukimuona ila uta fyoza. (kiding!!!!!! Dont do that please)
 
umenichekesha kweli mkuu,yaani bonge la ushauri,ila tukija kwenye law hapa jamaa unamtakia kesi ya deformation.
 
Kwa kuwa wewe ndiye ulikuwa wakwanza hata ukimchapa tena hakuna noma sana.

mbona unatoa ushuri wa kusaliti ndoa?we vipi? Au uzinzi unaokusumbua unataka kila mtu awe kama wewe? Umeshaambiwa wote wako kwenye ndoa,,wameshakula kiapo cha uaminifu mbele ya mwenyezi Mungu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii

Inaonyesha hamkuachana kwa mabaya ni distance tu ndo iliwatenganisha kwaiyo upendo bado upo hapo. Sasa inabidi u keep distance manake tayari wote mko kwenye ndoa. Ikitokea kwa bahati mbaya mkawa karibu na mkadinyana, ni hatari sana sana, kama simba akionja nyama ya binadamu, mwishowe ni lazma auliwe!
 
Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii

Usijali. Hamkuachana kwa ubaya ni circumstances za maisha ndio ziliwafanya msiwe pamoja. Inaonekana bado unampenda. Cha msingi kwa sasa mpende wako ulionae na move on
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom