ntagunga
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 654
- 256
haipo tanganyika.........
While iringa i tanganyika
sijui nimejibu vizuri???
ipo wapi sasa? Maana nasikia huko kulikuwa na mkutano mkubwa unaendelea tu
haipo tanganyika.........
While iringa i tanganyika
sijui nimejibu vizuri???
safi sana mkuu ni somo tosha kwa mwenye akilimkuu labda kukupunguzia hasira naomba uelewe hivi. Namba kubwa kabisa ni 0 (zero) pia zinazofuatia either ni negatives au positives.
Kutokana na mfano huo ni kuwa Tz akili ndogo inatawala akili kubwa na unaweza kujua 0 iko wapi kati ya hizo mbili.
fany hiyo 'bold/underline' iwe subject ya hiyo sentence.Baada ya kupitia nukuu za Dk. Nchimbi kwenye gazeti la Tanzania Daima nashawishika kusema kwamba Nchimbi anawakilisha msimamo wa serikali ju ya wanaCDM. Pia nina mashaka na tume zilizoundwa kuchunguza huku tayari waziri kama yeye kisha toa msimamo wake kwamba CDM wanahusika.
Hakika nazidi kuamini kwamba watakao vunja amani ya nchi hii ni jeshi la polisi kushirikiana na chama tawala.
source:Muuaji wa Mwangosi huyu hapa
PhD feki kabisa huyo mngoni
na kweli hujakomaSafi sana waeleweshe hao wabishi kama wako toilet na nchimbi ndiye prime minister kwenye serekali 2015
View attachment 63926View attachment 63927View attachment 63928View attachment 63929
Hapa ni Bububu, CCM wakifanya uzinduzi wa uchaguzi mdogo shughuli iliyoongozwa na makamu wa Rais Dk Bilal. Hii ilikuwa ni Tarehe 2 September, siku ambayo CDM walipotaka kufungua tawi na kufanya mkutano wao wa ndani pale Nyororo (Mfindi) na baadaye Polisi kuleta vurugu na kusababisha mauaji ya kinyama ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.
Amesema kweli hatutapata waziri hovyo kama yeye.
Alipokuwa anatangaza tume ya kuchunguza mauaji ya Marehemu D. Mwangosi, Nchimbi aliulizwa endapo yuko tayari kujiuzulu kama itabainika kwamba polisi ndio wanahusika na mauaji haya, akasema tena kwa kejeli 'nani ajiuzulu, nikijiuzulu mtapata wapi waziri kama mimi'.
My Take:
hizi ni dharau na kejeli kubwa sana kwa watanzania, sijui anaweza kutuambia lolote la maana alilofanya toka amewekwa kusimamia wizara hii, ninachokiona kwake ni kuratibu mauaji yanayoendeshwa na Polisi akishirikiana na Mwema. Nchimbi please swallow your pride and step down.
Nchi hii ina viongozi wajinga sana
mkuu mikutano na mikusanyiko ilikatazwa pande za iringa tu lakini maeneo mengine ilikuwa ruksa. What a msumeno unakata pande moja!