Nikijiuzulu hamtapata waziri kama mimi - Nchimbi

ila kweli fiesta mbona inafanywa tu jamani mbona hawasemi wasubili sensa iishe?? yani hii mijamaa inatia kinyaa yan bora kumpa nchi ata freemason lakini sio Chama Cha Mashoga
 
Mikutano ya ccm siku zote inafuata sheria chadema ni wakaidi wa sheria lazima wadhibitiwe sana wataharibu amani
 
Who's he by the way?,the guy can't even speak! ana matatizo ya kuongozwa na akili ndogo.
 
Anaulizwa jua linatoka saa ngapi anajibu mwezi unatoka usiku, anaulizwa chipsi begani anasema gunia la viazi shiling kadhaa, anaulizwa hili ziwa liko nchi gani anajibu hii bahari iko Tanganyika aaaaannnnh hata mwanangu anaesoma Saint kayumba hawezi jibu ujinga kama huu.
Hivi hua Baba Mwanaasha anawatoaga wapi hawa viongozi wake?
 
Waziri mpumbavu sana huyu. Hakuna lo lote alillofanya. Ni watu waliovimbiwa madaraka. Watu walioleta mabadiliko ya maana hapa duniani hawajivuni, wanaokula na kuvimbiwa tumbo + kichwa kama nchimbi ndio waliojaa majivuno ya kipumbavu kama yeye. Samahani sana kwa kumtukana huyu mheshimiwa, ni mtu wa ajabu sana na ameniudhi sana!!
 
kwa majibu haya hapa waziri hakuna! Na Serikali mie hua nawashangaa sana kama mikotano ya hadhara hairuhusiwi mbona fiesta inaendelea na inakuwa na mkusanyiko mkubwa kupita kawaida?
 
Kiukweli hatuwezi pata waziri kiazi kama huyu,ambaye yuko kwenye mitandao ya kimafya!!!!!!!seriously hakuna waziri kama yeye ambaye anatumia jeshi la polisi kutimiza matakwa yake ya kisiasa kamuhanda alipoua songea alimkingia kifua kamuhamishia iringa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
View attachment 63926View attachment 63927View attachment 63928View attachment 63929

Hapa ni Bububu, CCM wakifanya uzinduzi wa uchaguzi mdogo shughuli iliyoongozwa na makamu wa Rais Dk Bilal. Hii ilikuwa ni Tarehe 2 September, siku ambayo CDM walipotaka kufungua tawi na kufanya mkutano wao wa ndani pale Nyororo (Mfindi) na baadaye Polisi kuleta vurugu na kusababisha mauaji ya kinyama ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.

MKUU Mikutano na mikusanyiko ilikatazwa pande za Iringa tu lakini maeneo mengine ilikuwa ruksa. what a msumeno unakata pande moja!
 
Kwanza anapoteza fedha za walipa kodi kwa kuunda tume wakati ushidi ni wazi kabisa. Kuna jambo gani ambalo amefanya litakalokumbukwa na watanzania katika utmishi wake?
 
Baada ya kupitia nukuu za Dk. Nchimbi kwenye gazeti la Tanzania Daima nashawishika kusema kwamba Nchimbi anawakilisha msimamo wa serikali ju ya wanaCDM. Pia nina mashaka na tume zilizoundwa kuchunguza huku tayari waziri kama yeye kisha toa msimamo wake kwamba CDM wanahusika.
Hakika nazidi kuamini kwamba watakao vunja amani ya nchi hii ni jeshi la polisi kushirikiana na chama tawala.

source:http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=40199
 
Huo ndio msimamo wa serikali dhaifu inayo tumia polisi kuzima harakati za ukombozi!
 
Back
Top Bottom