Nikiingia Ikulu kesho AGREY MWANRI WAZIRI MKUU

Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2

uingie ikulu kesho?,duh hizo ndoto balaaa
 
Mh Mwanry, atadhibitisha ubora wake endapo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watu wanaotuhumiwa kufuja pesa ya umma. Akishindwa, basi ajione aliko (ccm) hapamfai na wakubwa wake wanamuona msaliti.
 
Pinda alikuwaje kabla ya uwaziri mkuu na sasa yukoje, then jadili kuhusu Mwanri atakuwaje akiwa PM
 
kwakweli hata mimi japo si mchaga lakini ni mwana kafu ambaye nliachana nayo mwaka 2006 na sasa ni chadema damu lakini agrey mwanri ni bonge la kiongozi anafaa sana kama hapa chadema tukipata jembe kama yeye ni zaidi ya simba au yanga wamsajili messi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom