Nikiingia Ikulu kesho AGREY MWANRI WAZIRI MKUU

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2
 
to start with, jamaa anaonesha kujua anafanya nini!asiishie hapo atoe hata taarifa jinsi anavyoclose issues alizoibua!ni haki kujua kwani mwanzo katushikisha!
 
Kweli huyu bwana hata wizi ulipungua alivokuwa dc arusha . Ni mchapakazi mzuri.
 
Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2
kweli mkuu jamaa alivyokuwa mkuu wa wilaya ya arusha alipambana sana na unyanyasaji wa wanafunzi kwenye vyombo vya usafiri,nakumbuka alivyokuwa akipita shule hadi shule kuhamasisha wanafunzi wasiwe waoga na wafichue wahalifu, wizi mitaani kipindi kile ulikoma, kwani alishiriki moja kwa moja! yeye ndio alizuia magari kuoshewa mtoni hapa arusha..mpaka leo car wash ziko kibao, hakuna gari inayooshewa mtoni! jamaa nim mtendaji mzuri kuliko hata pinda!
 
Mkuu umenena hasa. Mimi huwa siwapendi kabisa watu wa ccm ila mwanri anaonekana wazi ana tofauti kubwa na wana - ccm. Pinda haokoti kitu kwa mwanri. Ni pinda kama kumi hivi ndo utapata mwanri mmoja au twaweza kusema ni kikwete 1,000,000,000,000 ndo utapata dr slaa mmoja.
 
nilishawahi kusema humu jamvini siku za nyuma,jamaa ni jembe labda abadilike baadae maana ccm wanakuwaga kama vichaa,.jk haoni ndani kwa huyu na jk hawapendagi watu wa kumfunika kama huyu.
 
Mkuu umenena hasa. Mimi huwa siwapendi kabisa watu wa ccm ila mwanri anaonekana wazi ana tofauti kubwa na wana - ccm. Pinda haokoti kitu kwa mwanri. Ni pinda kama kumi hivi ndo utapata mwanri mmoja au twaweza kusema ni kikwete 1,000,000,000,000 ndo utapata dr slaa mmoja.

umenena kaka,ktk ukweli itikadi tuondoe,mimi ni CHADEMA na ktk baraza lote la mawaziri makapi mengi,huyu ndo nampa saluti pekee ktk serikali mbovu hii
 
nguvu tu ya soda.wapi enzi za mwakyembe,mama kilango, na wengineo hana lolote ni kama moto wa kifuu unawaka na kuzima tu ghafla gamba ni gamba tu
 
Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2

Kweli mkuu, nimependa anavyojibu maswali hasa yale ya nyongeza. Anaonekana yupo makini, Kampoteza kabisa PM
 
Nakukumbuka ulivyokuwa mkuu wa wilaya arusha,nlikuwa form one,uli2saidia wanafunzi ktk suala la usafiri.kweli umeacha legacy.NAKUONA UNAVYOJIBU MASWALI KWA UFASAHA unaijua vyema jiografia ya tanzania na matatizo ya watanzania.HATA UNAIBU WAZIRI WA TAMISEMI si saizi yako.UNAMPOTEZA WAZIRI WAKO MBAYA KABISA.MWANRI UNASTAHILI UWAZIRI MKUU.wakuu sijatumwa ila ni maoni yangu 2

Ni kweli kabisa nimemsikia anyounguruma mjengoni
 
Ni kweli kabisa Agrey yuko mahiri si kujibu tu hoja za mjengoni bali hata akiiwa field ni mtu anayejua nini kinafanyika na watendaji wake kabla ya wao hawajamzungusha kama gurudumu.mimi nawapongeza mkuu wetu (J,K)na waziri mkuu kwa kumwona Agrey kuwa ni jembe halisi la kitanganyika kwa watanzania.
 
Ni kweli kabisa nimemsikia anyounguruma mjengoni

nimwkuwa nikimfuatilia sana hata mimi namuona ni mtu mwenye kujua mambo mengi na mwenye sauti ya kimaamuzi, this man is a leader cha kushangaza hivi ccm huwa haiwaoni au wanaogopa kuchukuliwa hatua. this is the bad side of prt supremacy.
 
agrey mwanri ni kiongozi mzuri, naweza kumuunga mkono akiomba kuniongoza kwa ngazi yoyote ya kiserikali kutegemea tu anachangamoto ya wagombea gani kwa baadhi ya nyadhifa. hongera agrey mwanry.
 
nilikua simfuatilii sana Mwanri katika siasa za hapa Tanzania lakini My Young Brother alinishawishi sana nikaanza kumfuatilia Jamaa ni Mchapa kazi na hana aibu na hacheki na wazembe wazembe na maumuzi yake ni magumu ambayo hata JK na Pinda wake hawawezi kuyaamua
 
Back
Top Bottom