BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
Habari
Nikifungua www.jamiiforums.com nakutana na maneno haya
Warning: cannot use a scalar value as an aray in [path]/search.php on line 2508 baada ya ku-click kwenye Today's Posts, hayo maneno yanajirudia mara kumi na sita kwa kuenda chini. Halafu niki-scroll down ndo naiona page ya Jamii Forum.
Nikifungua page zingine kama gmail,yahoo n.k. haya maneno hayatokei.
Hili tatizo la hayo maneno kwenye page ya JF limeanza jana usiku na sielewi inaashiria nini.
Naomba mnielimishe.
Asanteni.