Nikifika Tz magazeti gani niyasome?

usilete issue za ajabu humu watu wamehamua tu kukujibu lakini ki-ukweli uki-google unapata magazeti yote ya bongo na sio lazima kuuliza huku ni mashauzi yako tu ya kihaya kutaka kujua kuwa unarudi Bongo kutoka nje huna lolote. Ina maana hujui kama magazeti yanapatikana kwenye mtandao au unazuga tu na je tukikutajia radio na TV za kuangalia ina maana ukifika Bongo utaangalia na kusikiliza hizo tu?

au hujui matumizi ya internet? nyie ndio mnakaa na net halafu unampigia simu mtu akupe definition ya geography au biology wakati uki-google unapata kila kitu

kuwa kwako nje kumekusaidia nn kama hujui kuwa magazeti yanapatikana kwenye net? wewe kama ukirudi Tanzania fikia Mwanarumango ndio wenye level za upeo wako na kama hujajistukia kuwa post yako ina matatizo basi wewe una matatizo zaidi hata niliyoyaona kwenye hii post

hivi unashindwa hata ku-google magazeti ya Tanzania au hujaelimika bado kuhusu kutafuta kitu kwenye net? nimekushangaa sana kusema kweli kuuliza kitu kama hicho, labda tu ni mashauzi ulitaka kufikisha ujumbe flani ukatumia hiyo post najua huwezi kuelewa nachosema kwa kuwa kwa hii post nina uhakika una IQ ndogo sana

.............. kama nimemuelewa vizuri muuliza swali ni kuwa alitaka kujua vyombo vya Habari vya kuaminika ! kwani uki google hata magazeti ya Shigongo yatakuja ! sasa sijui hayo pia unamshauri ayanunue akija huku ? ............... pengine nikuuliza jamaa unamfahamu vizuri eeenh ? aliwahi kukupora mzigo wako nini ?, maana umemshukia kiroho mbaya ...... daaaahh !
 
Duh! Yaani humu kuna GT kikweli kweli.
Maana umemjibu kama msuluhishi fulani wa kimataifa.
Congrat.....member.
 
Back
Top Bottom