Nikifika Tz magazeti gani niyasome?

hivi wewe unakuja na topiki gani humu JF? ninahisi kichwa yako ina walakini im telling you. Hata kama huko kona gani ya dunia magazeti yote maarufu ya Bongo yako kwenye mtandao mpk ya udaku na kila mtu makini anayasoma huko aliko sasa wewe kuja kutuuliza gazeti gani usome tutaweza vp wakati hatujui hobbies zako, hatujui mwelekeo wako ni wa kisiasa, kibiashara au kiuchumi? kwani ukifika si utakuta magazeti yanauzwa tena bei rahisi tu kwa nini usinunue yote ukasoma na ukiona lenye mwelekeo wako ulichukue, hata TV au Radio ukifika utazikuta ziko hewani na utachagua ipi ya kusikiliza

umeuliza swali la kijinga sana nachoweza kuconclude ni kwamba kuwa kwako nje hakujakusaidia kwa lolote zaidi ya kukufanya uwe zuzu zaidi

NB: Niko radhi hata kupigwa BAN kama nimetumia lugha ua kukwaza ila topiki hii imenikera na nimegundua kuna watu dunia hii hawajafumbuka akili

ID yako yenyewe inanikosesha jibu gani n'kupe?
Kwani humu maswali gani ulioyaona yana akili?
Humo kwenye mtandao niandikeje? Ili niyajue magazeti yote ya Bongo?
Humu ndipo nmeona ntapata msaada kwa urahisi zaidi...hata hivyo nmewashukuru ma-member tena THINKERS wamenisaidia kuyajua hayo magazeti pia TV chanels.
Uliamka na Hangover za offer!
Samahani kama nimekukwaza. Nmeona nseme yalio moyoni.
Mod asikupe BAN. Ila ujifunze kuchangia....threads.
Humu JF kuna Titles za ajab ajab but hatusema pumba kama wewe!
Kila mtu anasaidiwa hii ndio JF ilivyo na imesaidia na inatusaidia wengi.
Asiefunzwa na .........atafunzwa na.........!
 
usilete issue za ajabu humu watu wamehamua tu kukujibu lakini ki-ukweli uki-google unapata magazeti yote ya bongo na sio lazima kuuliza huku ni mashauzi yako tu ya kihaya kutaka kujua kuwa unarudi Bongo kutoka nje huna lolote. Ina maana hujui kama magazeti yanapatikana kwenye mtandao au unazuga tu na je tukikutajia radio na TV za kuangalia ina maana ukifika Bongo utaangalia na kusikiliza hizo tu?

au hujui matumizi ya internet? nyie ndio mnakaa na net halafu unampigia simu mtu akupe definition ya geography au biology wakati uki-google unapata kila kitu

kuwa kwako nje kumekusaidia nn kama hujui kuwa magazeti yanapatikana kwenye net? wewe kama ukirudi Tanzania fikia Mwanarumango ndio wenye level za upeo wako na kama hujajistukia kuwa post yako ina matatizo basi wewe una matatizo zaidi hata niliyoyaona kwenye hii post

hivi unashindwa hata ku-google magazeti ya Tanzania au hujaelimika bado kuhusu kutafuta kitu kwenye net? nimekushangaa sana kusema kweli kuuliza kitu kama hicho, labda tu ni mashauzi ulitaka kufikisha ujumbe flani ukatumia hiyo post najua huwezi kuelewa nachosema kwa kuwa kwa hii post nina uhakika una IQ ndogo sana
 
Hata kama ntaelewa-kugoogle bado ni vzuri uliposoma unifahamishe vzuri magazeti gani nkiwa TZ niyasome?
Wewe nakuona k.i.la.z* tu!
Kwani ukinambia hadi nka-Google ndio ieleweke unafaham zaidi Techno-hama!
Nimekupuuza ndio maana siweza kukushambulia kwa maneno.
Humu JF nmekwambia Titles nyingi za ajab lakin tunawasaidia.
Wewe na kuwashwa washwa huko....unalaumu! IQ yangu siweza ifananisha na yakwako. Kama umeiona yako ipo juu ni upeo wako siwezi kuingia zaidi kwenye bonet yako!
Kama utapenda nkifika Bongo nkualike japo 16 min.
Kama hautojali.
 
OK Amani, sikuwa na nia mbaya bali ni mtazamo tu, ukija Bongo nijulishe maana na mimi nipo mbali mpaka mwezi wa tano na kuendelea nitakuwa Bongo utani-PM (ila ni kwa nia nzuri tu na kufahamiana zaidi na kujenga urafiki). Sorry kama nimekukwaza
 
Don't worry!
We should be best friend.
Ntaku PM pia usichoke kuniudhi!
Na wewe un'kumbushe kama n'tasahau...maana Bongo nina muda mrefu sijafika! Lol.
 
Bongo pako poa tu wala huwezi kukuta maajabu sana sema unaweza kuta watu iliowaacha wamechoka au wako mbali sana kimaisha
Tatizo ni foleni na mgao ila maisha ni mazuri kichizi (kama kisu kipo)
 
Ahsante kwa hiyo taarifa yenye masikitisho!
Pia sijui marafiki zangu ntawakuta kwenye hali gani ya kiuchumi? Pia wa Tz kwa ujumla?.

mafagio au huruma?
we vp ..umemek ennh?
utanifanyia dola 1000? aU ma uk?paund 100 basi asi unajua tena NINA MADEN MWENZAKO
itanitosha mkuu
asante sana
naenda kununua walet kabsaaaaaaaaaaaa:twitch::twitch:!!!!!
 
nenda kwanza kwani unahesabu pesa nini ununue ninin usinunue?
soma siku za mwanzo uone, magazeti sio bei ghali tayarisha elfu 5 kila siku ya magazeti, pia kumbuka magazeti mengi yamo kwenye internet hivyo waweza soma kabla haujaenda na ukirudi pia
Thank u in advance.
Vipi hizi habari za uchumi zaidi ntazipata magazeti gani pia na siku?
Siri kubwa ya kuja Bongo nimempata muwekezaji so nahitaji niifanye kazi yake kwa ufanisi.
Congrat....JF members.
 
nenda kwanza kwani unahesabu pesa nini ununue ninin usinunue?
soma siku za mwanzo uone, magazeti sio bei ghali tayarisha elfu 5 kila siku ya magazeti, pia kumbuka magazeti mengi yamo kwenye internet hivyo waweza soma kabla haujaenda na ukirudi pia
Ina maana siwezi kulenga nsome gazeti moja au mawili tu?
Maana nkinununua magazeti mengi ntashindwa kujua nilifuate lipi niache lipi?
Nami nahitaji msaada wenu ili nipate kitu kitachosafisha akili zangu....hamuoni itanisumbua?
 
Ndevu mbili,huko ulipo ina maana husomi gazeti lolote la Tz? Na hata habari za uchumi mbona zapatikana mtandaoni?
Tafuta hayo magazeti online then you will make a choice.
 
Back
Top Bottom