..Nikifika A town...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,394
78,525
..Wenyeji wa huko Niambie kabisa nikija....
..mnanipokeaje?

..NB...nahitaji Mtura,na Ratiba zote za BATA...bila kusahau UJI wa SHANGA
 
..Wenyeji wa huko Niambie kabisa nikija....
..mnanipokeaje?

..NB...nahitaji Mtura,na Ratiba zote za BATA...bila kusahau UJI wa SHANGA
Week hii tumesitisha kupokea wageni we labda uwasiliane tu na Preta kwa huruma anaweza kukupokea!
 
Last edited by a moderator:
Arusha wako juu sana nasikia hata wana jf wanatembeleana. msalimie Sana MKIRUA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom