Nikifa

Lady N

JF-Expert Member
Nov 1, 2009
1,914
131
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.
 
Hapo kwenye suti hapooo!!! Alijuaje kama ni mfupi? Yaonekana alishamjaribisha! Ukiona hivyo ujue jamaa alishakula bisi ya mkeo!!
 
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.
Hii joke nilivyoiona ni fupi nikidharauu, kumbe.
Bweheeeeeee!
 
jmaa ailimpiga mke na mke alimpiga mume wote wakaishiwa nguvu za kupigana badala yake nguvu ya ku-do akawajia ,kwasababu ugovi ulifanyika sebuleni watoto waliwakuta waki do kesho yake asubuhi ugovi mwangine ukazuka kwani mke alianza kumulaumu mume kuwa yeye ndio chanzo cha ugovi,raha ya du-doo na pia aibu kwa watoto.
.
 
Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea.
Mume: Utampa gari yangu aendeshe.
Mke: Mh! Nadhani.
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda.
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi.

Duh.... kama ni mie hapo nivarangati bin kimbembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom