Nikifa nichomeni moto! Kha!

Huna lolote mwongo wewe, Abraham unamjulia wapi wewe!

Sema unaogopa videvu vyako vya sunna pamoja na chawa na m'ba wote vitateketea na moto na kwa imani yenu jinsia huonekana kidevuni.
Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipoku anayeitia nafsi yake katika Upumbavu? Q;2;130.
Na Mola wake Mlezi alipomwambia (Ibrahim): Silimu, nyenyekea ! Alinena: Nimesilimu na nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote. Q:2:131.
Kuweni Mayahudi au Wakristo ndo mtaongoka:Sema, sisi (Waislaam) tunashika mila ya Ibrahim mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. Q:2:135.
Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu, mtii, wala hakuwa katika washirikina. Q:3:67.
 
Si mnao muda ndio maana na kutumia akili kwenu ni gharama. Abraham aliishi enzi hizo wakati hakuna mortuary kwa hiyo kuhifadhi maiti na kuisafirisha ikiwa na uchafu tumboni ilikuwa si rahisi, kwa hiyo walikamuana. Sasa nyinyi leo hii bado mpo bize kuminyana matumbo as if kuna treasure mtu alimeza, loh!

Ila nyinyi ni bora msichomwe manake mtakuwa mnachomeka 'dabal'. Mchomwe duniani haya mkifika langoni tena mchomwe, kweli itakuwa uonevu na mnavyojua kunung'unika si itaku
 
Unatania au unasema hovyo ?! Ulikotoka kubaya, sasa angalia uendako kuwe kusuri, usijekuwa na mwisho mbaya !
 
Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipoku anayeitia nafsi yake katika Upumbavu? Q;2;130.
Na Mola wake Mlezi alipomwambia (Ibrahim): Silimu, nyenyekea ! Alinena: Nimesilimu na nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote. Q:2:131.
Kuweni Mayahudi au Wakristo ndo mtaongoka:Sema, sisi (Waislaam) tunashika mila ya Ibrahim mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina. Q:2:135.
Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu, mtii, wala hakuwa katika washirikina. Q:3:67.

Hapa ndio mimi nakupendea ndugu yangu Aliii, MISTARI. Wewe bwana ni bingwa wa mistari na wala hubwabwaji hovyo.

Sasa bwana Allii ibn Kombo, kuna mambo ningefurahi yangepata ufafanuzi toka kwako.
1. Huyu Ibrahimu alikuwa muislamu?
2. Dini yako inakataza ushirikina?
3. Ushirikina ni nini?
4. Ibrahim ndio huyu huyu Abraham wa kwenye Biblia au ni watu wawili tofauti?
 
Wale tuliwapa Kitabu (Tourat, Zabur, na Injil) wakakisoma kama ipasavyo kukisoma (bila kufuta hili au kuongeza lile) hao huiamini hii (Qur'an). Na wanaokikanusha (kwa kubadili, kupunguza, kuongeza na kupotoa tafsiri) basi hao ni wenye hasara.
Q:2:121.
Semeni nyinyi (Waislaam, kuwbmbia wakristo na wayahudi) Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyoteremshiwa (Qur'an), na yale yale yaliyoteremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is'haka na Yakuub na kizazi chake (wana wa Israel) na waliopewa Musa (Tourat) na Issa (Injil) na pia waliopewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao. Hatutofautishi baina yao katika hao. Na sisi tumenyekea kwake. Q:2;136.
Wale wanaoficha tuliyoyateremsha, nazo ni hoja zetu zilizo wazi na ni uongozi, baada ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni (Tourat, Injil, Zabur) hao anawalaani Mwenyezi Mungu. Q:2:159.
 
Enyi watu mliopewa Kitabu! Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, hali Tourat na Injil havikuteremshwa ila baada yake !? Basi Je, hamfahamu? .
Q: 3:65.
 
Ushirikina ni huu:
Na waliomshirikisha Mungu watakapowaona hao waliowashirikisha na Mungu, watasema: Mola wetu ! Hawa ndio washirikishwa wetu ambao tulikuwa tukiwaabudu badala yako. Ndipo (wale waungu washirikishwa) watakapo watupia neno hili hao (washirikina) kuwa, ''Hakika nyinyi ni waongo !''
Na siku hiyo watasalim amri mbele ya Mwenyezi Mungu, yatawapotea waliokuwa wakiyazuwa. (eti:Mungu ni watatu !) Q:16;86-87.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom