Nikaribisheni kwa Zulia Jekundu . .. .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Kimwana una macho ya huruma
Unaponiangalia mimi moyo umechechemea
Nikuonapo njiani Mate n‟nakumezea
Najiinamia chini kusema sijazoea

Mimi niwe na furaha Moyo wangu unapenda
Sina haja ya karaha Mtoto nimekupenda
Unijazie furaha Ili nisije kukonda
Nipapase nikupapase Nikushike kwa mahaba
Sitopenda nikukose Wewe unipe pendo la huba

Nategemea upendo kutoka kwenu
Mr Chota Pesa Utumie (CPU)
 
subiri kidogooo wataja kukuimbia mabata
 
karibu karibu mwanawani, hapa ni pahala pa kauli nzuri, majibu murua, habari moto moto na za kina zilizofanyiwa uchunguzi, hatupendi uzushi, kusingizia ama majibu ya jabza na kama umekerwa na post za mwanaJF usijibu kwa kauli ya kukatisha tamaa bora ukae kimya.Nimejitahidi kiduchu kukupa wasifu wa JF.Nkuulize hizo pesa za kuchota zapataikana wapi? EPA au DOWANS?
 
Ndugu yangu, Peeeeeeeesa zachotwa kwa Mkulo, Hazinaaaaaaaaaaaaaa! Muulize Roho-Si-Tamu La Ajizi
 
Kimwana una macho ya huruma
Unaponiangalia mimi moyo umechechemea
Nikuonapo njiani Mate n‟nakumezea
Najiinamia chini kusema sijazoea

Mimi niwe na furaha Moyo wangu unapenda
Sina haja ya karaha Mtoto nimekupenda
Unijazie furaha Ili nisije kukonda
Nipapase nikupapase Nikushike kwa mahaba
Sitopenda nikukose Wewe unipe pendo la huba

Nategemea upendo kutoka kwenu
Mr Chota Pesa Utumie (CPU)

Kimwana unamacho kweli, maana siyaoni
mmhh napokuangalia mie moyo wangu una stop
jamani samahani , lakini nikuonapo mate yanakauka..
mmhhh usiiname sana maana hakuna klorokwini za kutosha.

haaaa mmhh mie nina mawazo ya furaha
achi unanipenda hunijui.
kukonda kuzuru.. wenye vitambi hawatakiwi
mmmmhh hugs tu vya tosha.. kuni papasa huko mbali

duuuuhh kwa kweli umeingia kwa mikwaraa..
karibu sana lakini ..
mmhhh
 
Nashukuru AD, mikwara inasaidia kuwashtua wazoefu kama nyie mjue kuna kijana anaomba ushirikiano wenu, ila inaonekana unaifahamu mipasho balaa
 
ila naona kama ni ngumu sana kuishi humu . . .
 
Nashukuru AD, mikwara inasaidia kuwashtua wazoefu kama nyie mjue kuna kijana anaomba ushirikiano wenu, ila inaonekana unaifahamu mipasho balaa

mmmhh haya karibu..
lakini labda jaribu tena maani kweli hatushtuki..
ila tunapenda watu strong wanao simama kwa hoja zao..
lakini jua hakuna alie perfect kwa hiyo wote tuko hapa kusahihishana tukikosea..
mmhhhh hiyo mipasho ni mambo ya kawaida tu kama uko MMU
hahahahah lol
 
ila naona kama ni ngumu sana kuishi humu . . .

mmhh jamani hakuna ugumu wowote ...
wiki moja tu nakupa..
halafu ni PM..
haah lol

ingia kwenye JF photoes na JF vichekesho/udaku..
mmmhh ukisha vunja mbavu kwa muda wa nusu saa
basi ingia unakotaka..
hii nyumba yako sasa..
 
Utamu woooote wa msg uko hapo! Nishapewa ruksa, lazima nitaku-PM, utanikubali mwenyewe
Asante AD
 
karibu sana cpu, hakuna ugumu wowote!

Katavi nashukuru kaka, ugumu upo mkuu!
Mfano mtu anajibiwa ktk thread yake "MAJIBU UNAYO MWENYEWE" au "MIJITU MINGINE INAPENDA KURUDIA-RUDIA THREAD, KAMA HUNA NYAMAZA KIMYAA" na lugha nyingine kibao za dharau kama hizo! Kwa kweli mtu atajisikia mpweke na hata kujutia uamuzi wake wa kujiunga JF
 
Utamu woooote wa msg uko hapo! Nishapewa ruksa, lazima nitaku-PM, utanikubali mwenyewe
Asante AD

mmmhh lol
haya mkuu baada ya wiki moja lakaini lol..

sasa CPU nini kwa kirefu??
na ninja kaenda wapi??
 
Back
Top Bottom