Nikapigwa ndoa ya mkeka Ununio…!

Hivi binti zako wengine wako wapi,
au tayari umewapiga ban mpaka umalize
kueleza matatizo yako ya ujanani humu.
 
Mbimbinho mh, bora niuchune maana sijatafutwa na nadhani wameshanisahau.............
Isije ikawa kuna ndugu yake humu JF..................LOL

naam tupo watu wa ununio humu tunachukua details kisha tuunganishe matukio kisha tutakuomba tukacheki DNA kwa uhakika zaidi hebu tuambie ulilala zile nyumba karibu na bahari au?
 
ha ha ha. Lol! Mtambuzi umeshindikana! I needed to read this and take a break from Dr Ulimboka's incidence!
 
Never give up nakumbuka alikuwa anaitwa Hayawi binti Mambaligwa Mshamu

Mzee Mtambuzi kumbe wewe ndio ulieacha shombo pale kwa Mzee Asha................Binti huyu alikuwa ni shemeji wa mzee Asha mzee maarufu pale Ununio.....mzee tajiri kweli kweli,kama unakumbukumbu nje ya nyumba ya mzee huyu ya Bi mdogo wake kuna mti wa visheti na vitumbua........lol mliturusha kweli kweli.........haswa na kile kibao ulichokuwa unakirudia rudia cha YEYE YEKE HUWA YEKE YEKE.........VITUNGUU VINANUKIA.....Bado unazo hizi record mzee wangu
 
Mzee wangu umenikumbusha mbali kweli.......Ulipokimbia umaarufu wako ulizidi maradufu pale Kijijini.Maana wote tulidhani ni ndugu wa Philbert Bayi kwa mbio ulizotoka nazo na tukazidi kuamini kuwa vyombo vile ni vya kwako maan umetoka katika familia maarufu ya kina Philbert..........Vipi mbio umeacha au kipaji kilikuja tu baada ya tukio,kwa kweli ulikuwa vizuri kwa mbio maana ulikuwa mdogo kama piriton yuliona vumbi jeupe la pwani tu
 
Baba Sharon naomba haya mambo yaishie humu humu......................LOL
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha ha haaaaaaaa Umeua mkuu..........................LOL
 
Baba Sharon naomba haya mambo yaishie humu humu......................LOL

Wewe tena role model wangu toka enzi zile sema nilikuwa confused nilishindwa kujua nifuate fun yako ipi......Maana ulinishawishi kwa vingi Riadha na Udj......Mi naendelea kukusoma tu nipo bado ununio.....Ninakusitiri mzee mwenzangu
 
A good thing ,kuna loopholes, unapiga talaka 2, si unajua hata kuzitaja tuu zinatimizwa, watasubiri ya 3 ya maandishi unaiweka pending.

Ilinikuta migomigo, binti wa mwenye nyumba walikuwa busy niwekea maji, na marupurupu mengine kama hayo huku mzee akiwa busy monitor mienendo yangu kuhusu kazi, kwenda pata biere 1 n.k Sikuwahi walamba nikiwa kwao.

One day baada ya kutoka kwao ,binti mmoja akanipa mchongo jinsi alivyokuwa akihimizwa ajitume just because nilikuwa na afford vitu vidogo, ila dadake ndio alikuwa anapenda dili.Kwa hasira nikaanza watafuna, kwa staili ya kupanda nao sehemu za kushtukiza halafu nachukua taxi nakuhama vituo vya mwisho wa mji.Uswazi kipindi hicho hawakuweza keep up na budget.
 
nimechoka naenda kulala kesho nitasoma then tutajuana ole wako nikute unamakosa alafu umekimbia mke sitakuacha nitamleta huku
 
Hahahaha, mkuu huna haja
ya kuogopa maana ni kitambo sana sasa, sidhani hata huyo mkeo mwenyewe
anakukumbuka.
Mkuu hivi unajua kuwa yule still ni mkeo halali kabisaa maana you never
filed a divorce:dance:

Alokwambia nani?ktk uislamu kuna mda wk wa kuishi mbl na mkeo ukipitiliza umejiachisha.
 
hii unanikumbusha jamaa mmoja aliekuwa akitoka na binti wa mwenye nyumba,jamaa ndo kwanza alikuwa anaanza kazi baada ya masomo nje ya nchi,jamaa alipangiwa fumanizi litakaloambatana ndoa ya mkeka,ile tu wazee wa shughuli wanamzunguka na kumtangazia ndoa jamaa aliingia ndani akotoka na bastola akapiga risasi tatu juu watu walikimbia ile mbaya na jamaa nae akasepa zake akawa ameokoka kune ile ndoa,hakurudi hata kuchukua vyombo vyake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom