Nikapigwa ndoa ya mkeka Ununio…!

Kwa sisi wa maeneo hayo, huyo binti alifuzu chuo kimoja bila mahafali. Ni kitu cha kawaida mwanamke kuolewa na kuwacha na aanakuwa kaingia chuo kimoja. Ulifanya kosa ungemchukua uende naye Dar angekuta huna hivyo vitu angepiga deal na mtu mwingine afungishwe ndoa ya mkeka. HIZO NDIO ZETU
 
Mzee mtambuzi kazi unayo hayohayo umekuja nayo mpaka uzeeni ,ulivaa viatu kweli siku hiyo au uliingia mjini pekuuu?
nivea siku hizi nawachukia wanawake kama nini.....
Wanawake hawafai kabisa, walimdanganya Adam akala tunda, mie nitawaweza kweli?

Bora niwe peke yanguuu, Bora niwe peke yanguu............................
 
Last edited by a moderator:
Kwa sisi wa maeneo hayo, huyo binti alifuzu chuo kimoja bila mahafali. Ni kitu cha kawaida mwanamke kuolewa na kuwacha na aanakuwa kaingia chuo kimoja. Ulifanya kosa ungemchukua uende naye Dar angekuta huna hivyo vitu angepiga deal na mtu mwingine afungishwe ndoa ya mkeka. HIZO NDIO ZETU
sirghanam kumbe wewe unawajua eh...........
Si haba hata hivyo nilimfaidi kweli maana nilimtandika mpaka majogoo.................
 
Last edited by a moderator:
nivea siku hizi nawachukia wanawake kama nini.....
Wanawake hawafai kabisa, walimdanganya adam akala tunda, mie nitawaweza kweli?

Bora niwe peke yanguuu, bora niwe peke yanguu............................
kondoo hazeeki maini mzee mtambuzi nitakufumania mahali tu sikumoja na katoto kadogo na hapo kwenye red ,umejumuisha bila hata kumfagilia mama na dada zako mzee mtambuzi je na hao unawachukia?
 
no hawezi kuwa mke hata kama ilifungwa kisheria but kama hakumuingilia basi si mkewe.ndio maana mume akifa pasi na kumuingilia mkewe hata siku moja basi mke hapaswi kukaa uzuka.

Mkuu unless kama wana-consider after marriage, lakini as we read the story mkuu Mtambuzi alikula mzigo tena hadi asubuhi dadadeki, hebu nieleweshe hapo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kabla sijamaliza kusoma stori nikajua ni mama Ngina ndio ulifumaniwa nae, nilitaka kukupa hongera kwa ndoa yenu kudumu mpaka leo, kumbe lol! ulimkimbia mke wa ujana wako.
Michael Scofield labda sasa hivi ningekuwa nishazeeka na labda ningekuwa namiliki viunga vya minazi huko Ununio................LOL
Machale yalinicheza nikashtuka mapema.
 
Last edited by a moderator:
kondoo hazeeki maini mzee mtambuzi nitakufumania mahali tu sikumoja na katoto kadogo na hapo kwenye red ,umejumuisha bila hata kumfagilia mama na dada zako mzee mtambuzi je na hao unawachukia?
nivea nilikuwa namaanisha wanawake wa Ununio
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia, King'asti, Asnam, mbalu, TaiJike, cacico, Erotica na FirstLady1 marufuku kuchangia huu uzi,
Mkithubutuuu, mtanitambua......................LOL

wewe kwa nini unikoseshe uhuru wa kuchangia la sivyo ungewatumia pm hao unaotaka wachangie huyoooooooo:dance::dance:,kumbe wewe ndo ulimkimbia bi harusi hujui ni aunt yangu na ulimuachia gundu mpaka leo hajaolewa naenda kumleta huku huku mjini mpaka mlangoni kwako
 
Mtambuzi uliadimika sana. Ijumaa naona siku hizi inapita bila kisa....
ammah visa vya Ijumaa havikauki, labda kama hufuatilii hapa MMU, waulize wenzio..................
 
Last edited by a moderator:
wewe kwa nini unikoseshe uhuru wa kuchangia la sivyo ungewatumia pm hao unaotaka wachangie huyoooooooo:dance::dance:,kumbe wewe ndo ulimkimbia bi harusi hujui ni aunt yangu na ulimuachia gundu mpaka leo hajaolewa naenda kumleta huku huku mjini mpaka mlangoni kwako
Asnam acha unoko weweeee.......................
Lione vile.........................................LOL
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom