Nikama vile shetani ameshika Biblia na pambio anawaimbia

Zayuni

New Member
Mar 31, 2015
4
3
Rashind C
Allan P
Nikama vile shetani
ameshika Biblia na pambio anawaimbia
machozi pia anawalilia ,maneno yake yanaingia
gafla mnaanza kumsifia kisha namagoti
mnapigia na kuanza kumsifia na kumsujudia,
mmekosea labda hamjui wala hamfaham nini
kitawatokea.......
sikuona haja ya kikao chako
cha jana na wazeeee wa Dar es Salaam maana
siuoni umuhimu wa kuwa na shughuli rasmi
kueleza yale mliyotenda siku mia moja mkiwa
madarakani.
Na au kama ni muhimu sana kuelezea siku mia
moja mbona hotuba ya balozi Ombeni Sefue siku
ya majuz
ilimaliza yote, na ilisema kwa ustadi mno kila
mlichofanya na msimamo wenu wa kuendelea
kuyafanya zaidi, sasa leo tena kikao cha nini?
Nina mashaka kikao cha Leo ulisukumwa kwa
kupambwa, ukaambiwa watu wanapenda sana
kukusikia ukiwakoromea watumishi wa umma na
hasa kale kamsemo kako ka 'Nitarara nao
mberee' jihadhari wenzako ilikua hivyo pia.
Mgema akisifiwa........
Na basi mie nliposikia kikao, nikatuliza nafsi
nkasema nisipaparike haraka, maana huenda lipo
jipya waja lisema, na sikutaraji tena simulizi za
majipu na mikwara kwa watumishi wa umma
maana Ombeni, Majaliwa na siku hizi kila mtu
anasema na anampiga mkwara alo chini yake.
Kwa maana fupi somo la majipu na uwajibikaji
limeanza kueleweka taratibu.
Laahaulaa!!!!! Kutahayari, yale yale ya majipu,
kma ulivyosema Dodoma, Morogoro, Singida na
Arusha. Mzee vipi hakuna kingine kwani?
Rais wangu mpendwa, watu sasa majipu na
matambazi tumeelewa msimamo wako na karibu
wote serikalini wanajua sasa nilitaraji mapya
yahusuyo mkate.
Nlijua leo umekuja na mpango mpya wa dira ya
Serikali yako labda, au umekuja kutangaza kuwa
baada ya siku mia moja umejiridhisha kuwa
azimio la Arusha halikuwa na tabu hivyo
unanuwia kulirejesha na lianze kutumika.
Au umekuja eleza itikadi na falsafa ya siasa na
uchumi ya Serikali yako kwamba u mjamaa,
bepari au chotara, lakini hakuna ulosema.
Mzee simulizi za majipu zitaisha, na zikiisha watu
wataanza kuomba mkate, watataka kusikia
mbona chumvi na sukari ni ghali sana bado?
Na mkate wa umma hauwezi moja kwa moja
kutatuliwa pekee na kutumbua majipu au
kuwatimua Marc na Ma DC, bali kwa mipango
inayofuata itikadi fulani na falsafa ndivyo kote
duniani wanavyofanya.
Unatuambia viwanda utajenga, sawa, je kwa
itikadi ipi ya Serikali kuvianzisha na kuvimiliki au
sekta binafsi ijenge utoze kodi au mtashirkiana
wote sekta binafsi na serikali?
Pia utuambie vikishajengwa vitazalisha nini na
tumbaku iko Hoi, mkonge watu ndo mapori ya
valentine, chai inafuga nyoka, mpunga wanalima
heka tu au viwanda vitasindika miguu ya Kuku?
Tulitaka kusikia, tutategemea wamasai kutufugia
ng'ombe au tutarejesha ranchi za taifa, na
viwanda vyake vya usindikaji chini ya Serikali?
Utuambie kinagaubaga, wananchi watashirki vipi
katika uzalishaji maana wote hawatoshi
viwandani na ofisini, wataanzisha vikundi vipi?
Watawezeshwaje? Na wakizalisha vyote vya
vijijini na viwandani soko liko wapi? Tulitaka sikia
leo umeamua kupiga marufuku ungizwaji wa
bidhaa zote zinazoweza kuzalishwa nchini ila
tuvilinde viwanda vichache vilivyopo.
Mpango wa kila hotuba kutangaza dau nono la
papo hapo kama bahati nasibu ya Airtel hatutaki
tena. Tuambie tutatengeneza vipi za kwetu
kwenye kijiji, mtaa, kata, wilaya na Mkoa.
Kama unaona za hazina hazitoshi ungefungua
akaunti ya pamoja ya taifa kila mwenye senti
aweke tukafungue mashmaba makubwa na vituo
vya huduma tuneemeke.
Mzee jipange upya, tangaza sera na itikadi, njoo
na dira yako ya utawala, tushirkishe tushirki
kama usafi wa uhuru kazi si yako mwenyewe ni
yetu sote. Maana majipu na tambazi yakiisha
tutakudai mkate.
 
Ambao sio wakristo kichwa cha habari kina lenga nini kwao au watanzania wote ni wakristo? Mapambio nini? Epuka mada za viashiria vya udini kwenye Jukwaa la Siasa
 
Hivi

UMENENA VEMA MKUU.TUNAMFIKISHIAJE JAMAA UJUMBE HUU! Kwa uelewa wangu najua haelewi hili,huwezi ukaka unashughulika na ugonjwa mmoja wa majipu , wakati mgonjwa ana njaa, hajaoga hana pa kulala ana magonjwa mengine pia hata elimu yenyewe hana!
 
Maana majipu na tambazi yakiisha
tutakudai mkate.[/QUOTE]

Uko sahihi 100% ila tatizo la Nchi yetu wajinga ni majority (87%) na wachache sana (13%) ndo watakaoweza kuelewa haya uliyoyaainisha
 
Zayani, mada yako ni nzito na ndio ukweli wa mambo ulivyo. Huwezi kwenda kokote kama nchi bila kuwa na falsafa ya maendeleo ambayo ndio itakupa dira. Falsafa hutokana na itikadi ya chama cha siasa au hata kiongozi aliye madarakani na huiwezesha serikali ya chama tawala kutunga sheria na sera zinazolenga katika ustawi wa tabaka au kundi fulani katika jamii. Kwa mfano, hapa kwetu tabala la juu (watawala, wafanyabiashara wakubwa, na "mafisadi") ni chini ya asilimia moja ya Watz. Tabaka la kati ni 12% na wanaobaki (zaidi ya 88%) ni tabaka la walalahoi. Chama tawala CCM (na sera za uliberali mamboleo zilizotokana na IMF/WB) kimejikita zaidi katika ustawi wa tabaka la juu na kwa kiasi kidogo tabaka la kati na kuliacha tabaka la walalahoi likiogelea katika lindi la umaskini wa kutupwa. Mfano kukua kwa uchumi wa taifa (~7% kwa mwaka) hakuna maana yoyote kwa walalahoi wa nchi hii. Hivyo kuimba tu pambio la "tumbua majipu" bila kuja na sheria na sera zinazolenga kuwanyanyua walalahoi ni kazi bure.
 
Ikiwa kile ambacho rais anaamua kukiongelea kwa umma unaona kama vile hakikuhusu, badili channel ya runinga yako, zima radio na ufanye mambo yako binafsi. Na ndio maana ya demokrasia, ule uhuru wa mtu kufanya analotaka ili mradi havunji sheria. Wapo wengi tu ambao wamepata mengi mapya kutokana na hotuba ya jana ya rais. Jifunze upya maana ya neno demokrasia, ukishaifahamu vizuri hutasumbuka kuanzisha mada zinazohusiana na hotuba za kiongozi mkuu wa nchi.
 
Huko sahihi kabsa Nginana, ccm Ndio iliyotufikisha hapa, lakini tena ndio iliyoanza kusafisha madudu take ...sifa zinatoka wapi sasa..mfano mtoto kupelekwa shule na mzazi sio jambo la hajabu coz ni wajibu wake ..kuna mambo serikari inafanya wajibu wake sifa zinatoka wapi kwani mlitegemea wafanye nn labda...
 
Mkuu nimekusoma.... jana nilisikia mkulu
anasema " majipu yakiwa kichwani, ntayatumbua, yakiwa mgongoni ntayatumbua nk" kwa kifupi alitaja karibu sehemu zote za mwili...... nilijiuliza kama majipu yanahama toka sehemu moja na kwenda nyingine na wewe kazi yako ni kuyafuata na kuyatumbua.... je kwa nini usitafute chanzo cha majipu kwa kusafisha damu ili yasiote?
Maana majipi ni infection. .... ni damu imechafuka..... wakati unatumbua moja ulilo liona usoni, kabla halijaenda mgongoni basi safisha hiyo damu kwa kutibu infection. .... na ulicho eleza ndo tiba yenyewe mkuu.... majipu yatumbuliwe kama njia ya dharula lakini wakati huo mkakati mahsusi wa kutibu hiyo infection ukifanyika.....
 
Ikiwa kile ambacho rais anaamua kukiongelea kwa umma unaona kama vile hakikuhusu, badili channel ya runinga yako, zima radio na ufanye mambo yako binafsi. Na ndio maana ya demokrasia, ule uhuru wa mtu kufanya analotaka ili mradi havunji sheria. Wapo wengi tu ambao wamepata mengi mapya kutokana na hotuba ya jana ya rais. Jifunze upya maana ya neno demokrasia, ukishaifahamu vizuri hutasumbuka kuanzisha mada zinazohusiana na hotuba za kiongozi mkuu wa nchi.

Nyerere alisema Tz inaliwa na maadui wakubwa watatu, in order of strength of enemy akaanza na ujinga km adui mkubwa wa kwanza kwa nchi maana idadi kubwa (majority 87%) bado wameshikwa na adui ujinga ukilinganisha na wachache (minority 13%) waliokombolewa. Swali: wewe upo kundi ipi? yaani 87% au 13%?
 
Bahati mbaya sana wewe upo kwenye hilo kundi la wengi (majority 87%), huwezi kumpangia rais kitu cha kuongea na wakati wa kuongea. Uhuru wako na wangu una mipaka yake. Ila ujumbe wangu kwako unabaki pale pale, ukisikia rais anataka kuongea na watu, zima radio au badili channel ili uweze kuepuka kusikia kitu usichokipenda.
 
Hivi

UMENENA VEMA MKUU.TUNAMFIKISHIAJE JAMAA UJUMBE HUU! Kwa uelewa wangu najua haelewi hili,huwezi ukaka unashughulika na ugonjwa mmoja wa majipu , wakati mgonjwa ana njaa, hajaoga hana pa kulala ana magonjwa mengine pia hata elimu yenyewe hana!
Hata Bwana Yesu alitenda mema sana kwa wanadamu lakini wapo waliompinga na kukejeli yote mema aliyosimamia na kutenda. Mwishowe binadamu hao wakaona haitoshi ila wamsulubu msalabani! Haishangazi wanadamu leo hawaoni mema yanayotendwa na Rais Magufuli wanakejeli na kuyafumbia macho hawataki kuona wala kukubali kwamba anayofanya ni mema kwa wanadamu wanaoteseka kwa namna moja ama nyingine. Tubadilike!
 
Uchambuzi mzuri, ngoja makasuku waamke. Majipu bila kutwambia what is next ni kupotezea muda! Matumaini ya hotuba ya Leo ulikuwa ni sasa shule zote zitapata madawati kabla ya mwezi April, walimu watalipwa madai Yao.

Chama Cha Majipu.Kuna ile methali...."Ganda la mua la jana Chungu kaona kivuno"Ngoja fungate liishe watarudi tena
 
Bahati mbaya sana wewe upo kwenye hilo kundi la wengi (majority 87%), huwezi kumpangia rais kitu cha kuongea na wakati wa kuongea. Uhuru wako na wangu una mipaka yake. Ila ujumbe wangu kwako unabaki pale pale, ukisikia rais anataka kuongea na watu, zima radio au badili channel ili uweze kuepuka kusikia kitu usichokipenda.

Haya majibu yanathibitisha ukweli wa aliyoyasema Nyerere kwamba ujinga ni adui mkubwa wa kwanza kwa maendeleo ya nchi: Kwa akili km hii yako Africa pengine itahitaji at least 400 years kuwa na binadamu wanaotumia vichwa kufikiri: Swali langu dogo sana umeshindwa kuelewa, huwezi kuelewa maelezo ya huu uzi na zaidi huwezi elewa maana ya uhuru na mipaka ya kuongea.
 
Ifike mahali tuwe tunapenda kuhoji
 
Huko sahihi kabsa Nginana, ccm Ndio iliyotufikisha hapa, lakini tena ndio iliyoanza kusafisha madudu take ...sifa zinatoka wapi sasa..mfano mtoto kupelekwa shule na mzazi sio jambo la hajabu coz ni wajibu wake ..kuna mambo serikari inafanya wajibu wake sifa zinatoka wapi kwani mlitegemea wafanye nn labda...

Kaka tulikuwa hatuna RAIS kwa kipindi cha MIAKA KUMI ni sawa na CHUNGU aliyekutana na GANDA LA MUWA LA JANA
 
Haya majibu yanathibitisha ukweli wa aliyoyasema Nyerere kwamba ujinga ni adui mkubwa wa kwanza kwa maendeleo ya nchi: Kwa akili km hii yako Africa pengine itahitaji at least 400 years kuwa na binadamu wanaotumia vichwa kufikiri: Swali langu dogo sana umeshindwa kuelewa, huwezi kuelewa maelezo ya huu uzi na zaidi huwezi elewa maana ya uhuru na mipaka ya kuongea.
Bahati mbaya sana kwa afrika hii ni kwamba wajuaji kama wewe huishia kufanya madudu kila wanaapopewa nafasi za uongozi. Afrika inayoundwa na akili negative haiwezi kushindana popote pale. Huwezi mpangia rais aongee wapi na aongee kitu gani. Nyinyi mnaotumia vichwa mmeleta kitu gani kipya, mbona tunashindwa kutengeneza hata vikombe?. Nyinyi mnaojidanganya kuwa mna akili nyingi, mmeleta maendeleo gani yanayoonekana?. Kila nchi ya afrika ina wizara ya sayansi na teknolojia lakini hakuna chochote kutoka Afrika kwenye masoko ya kimataifa, halafu unaleta ujuaji humu JF. Mleta mada anamponda rais kwa kuhutubia wazee, kama hataki kumsikiliza abadilishe channel au azime radio.
 
Ifike mahali tuwe tunapenda kuhoji
Kuhoji hatujakatazwa, ila tukumbuke kuwa tunamuongelea amiri jeshi mkuu, kiongozi mkuu kabisa wa nchi. Watu wanashindwa kuweka mipaka katika uhuru wa maongezi waliopewa. Huwezi kumpangia rais mahali pa kuongea, watu wa kumsikiliza na ujumbe anaotaka ufike kwa watu anaowaongoza.
 
Watanzania tunapokosea ndiyo hapo.Magufuli ni Binadamu kama wewe na mimi.Anafanya MAKOSA mengi tu kama wewe na mimi.Ndiyo sababu hata JKN aliomba radhi siku za mwisho kwamba kuna mabya aliyoyafanya anaomba tumsamehe na kuna yale mazuri tumpongeze,na ndivyo inavyotakiwa kuwa.

Na kwa sababu ya UBINADAMU wake anaomba aombewe.So usiwe na upofu kwa cheo cha mtu.Kwani mwisho wa siku ili afike mbinguni kwa IMANI yake lazima aende kwa padre akamuungamishe,bila hilo hata afanye mema mengi hatafika huko.

Tutamkosoa,tutamweleza,tutamkatalia,tutampongeza,tutamshurutisha kwa sababu aliomba KURA mwenyewe,na ni mafanyakazi wetu,ameomba atufanyie kazi,tunhaki ya kuhoji,kuuliza,kukaripia sababu ni Muajiriwa wetu.
 
Sijasema kama jamaa ni malaika, ninachopinga ni mtu kumpangia muda na siku ya kuhutubia wananchi, JK alikuwa mpole kiasi ambacho watu wakaidharau taasisi ya urais. JK alikuwa too politician, watu wakajiona wanaweza kuwa marais, na mchakato ulipoanza wakajitokeza watu zaidi ya 40 kutaka wachaguliwe ili waliongoze taifa, yaani urais ulishuka sana thamani. Huyu wa awamu ya tano anarudisha heshima ya urais.
 
Back
Top Bottom