Nijuzeni,mnaposema "mwanaume yule shababi mna maana gani" i mean vigezo

Maana ya shababi ni kijana (youth).

Sasa kutegemeana na muktadha, huenda mara nyingi hutumika kumaanisha huyo mtu bado damu yake inachemka na ni mwenye nguvu.
 
Shababi ni mwanaume mwenye nguvu nyingi,ambaye akimkamata demu basi sii chini ya bao5 na kila bao sii chini ya dk20.
 
Nakubaliana na alivyosema Nyani Ngabu hapo Juu


Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI ..


Shababi
* nm [a-/wa-] youth. (Kar)

.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom