Nijuzeni kuhusu M-PESA na TIGO PESA.

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
715
208
Wakuu naomba mnieleweshe ni process gani za kufuata ili kuwa wakala wa m-pesa ama tigo pesa. Je leseni yake inatolewa na BOT ama TRA? Au waweza tumia leseni yoyote ya biashara kufanyia hiyo ya pesa? Please msaada waungwana.
 
Mkuu nenda ofisi za makamputi hayo, TIGO, VODACOM na AIRTEL wanaofisi katika miji mingi ambazo ndiyo hutoa ufafanuzi wa mabo hayo.
Jitahidi tembelea ofisi zao
 
Asanteni wakuu kwa ushauri mzuri.

Ukienda huko watakwambia uje na photocopy za tin number,leseni ya biashara na kitambulisho na passport size mbili za rangi,tin number inapatikana tra na leseni inapatikana ofisi za biashara za mkoa
 
ivi hii biashara faida yake ikoje? mpesa, tigopesa, kuuza luku, kuuza vocha za startimes au dstv?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom