Nijuzeni jamani...Kigoli ni mwanamke wa namna gani???!!!!....

Hii ni lugha jamani.. miye nilidhani 'kigoli" ni kinyume na "goli" yaani goli ni kubwa unaweza kufunga popote lakini "kigoli" ni goli dooooogo... kufunga kwake taabu.. halifunguki kirahisi rahisi kama alivyofungwa Green wa UK.
 
Back
Top Bottom