Nijengeni nitimize ndoto zangu

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Heshima mbele wakuu,nimekua na ndoto siku nyingi za kuwakilisha jimbo langu la Muleba kusini kama mbunge katika Bunge la Jamhuri,Hii sio tu kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu tu,bali pia kusaidia kupunguza umasikin mkubwa walio nao hawa ndungu zangu,msaada nnaoomba kutoka kwnu majembe yangu ni haya yafuatayo,kwnza kwa sasa niko mwaka wa 3 chuo nasoma sheria je,?2015 naweza kusimama?pia mimi ni mwanachama wa chadema mwenye kadi #353...je itaniitaji kua na hera nyingi kugombea ubunge!?ni hayo tu,naomba pia mnicritisize kama itahitajika,nawasilisha.
 
Ati, kusaidia kupunguza umasikini? Weka sera zako kwanza hapa.
 
Sasa tutachangia kwa hoja gani uliyoileta?
soma kwanza umalize hata shule yenyewe ya sheria ndio upo mwaka wa tatu! Ushauri wangu usome usaidie fani ya sheria sio kukimbilia bungeni.
 
weka matatizo ya muleba na utatuzi wake(include timeframe).pia elezea kwa nini wewe tu na sio mwingine unaweza kusimamia utatuzi wa matatizo hayo.sio mbaya kutangaza nia
 
Hili kushinda ubunge uwe na kiasi kisichopungua mil70(kwa mujibu wa redet) hila usiogope kama unakubalika vizuri unaweza ukafanya M4C(Muleba for change) ukapata kina sabodo wa huko wakakufainansi ukashinda ubunge,hila chunguza kwanza huko muleba kabla ya kuweka nia isije ikawa kama ya shinyanga mjini.
 
mi nadhani kama ungekua na nia ya kunisaidia ungenisaidia kwa hayo niliyoyainisha na sio,kunitaka nisome shule ya sheria,na wala hilo sio lazima,wananchi wanaangaika sana jamani,
 
matatizo yopo mengi tu kama yalivo kwa majimbo mengi hapa nchni,kama maji,barabara elimu,exportation ya cash crops zao,maradhi,marazi n.k,kuhusu kwanini mimi,sababu nnazo nyingi sana ikiwemo utatuzi wa matatizo nloyataja hapo juu..
 
Hili kushinda ubunge uwe na kiasi kisichopungua mil70(kwa mujibu wa redet) hila usiogope kama unakubalika vizuri unaweza ukafanya M4C(Muleba for change) ukapata kina sabodo wa huko wakakufainansi ukashinda ubunge,hila chunguza kwanza huko muleba kabla ya kuweka nia isije ikawa kama ya shinyanga mjini.
nakushukuru kingkong kwa ushauri wako mzuri ntaufanyia kazi,tupo pamoja.
 
mi nadhani kama ungekua na nia ya kunisaidia ungenisaidia kwa hayo niliyoyainisha na sio,kunitaka nisome shule ya sheria,na wala hilo sio lazima,wananchi wanaangaika sana jamani,

Too low!
 
Ati, kusaidia kupunguza umasikini? Weka sera zako kwanza hapa.

siombi kura,naomb ushauri,kama huna chakushauri unachuna tu,sio mpaka kila kitu uchangie,ni hayo tu.
 
Weka mipango yako, upate ushauri. Unaomba ushauri, kisha povu linakutoka!Pole.
 
Back
Top Bottom