Niifahamisheni wadau

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,836
2,659
Eti unapokuwa umekaa sehem na mwanamke (popote pale), na ukawa mara nyingi uko kimya hivi kisha anakuambia, 'mbona huongei? Ongea basi...' Hii inamaanisha nini?
 
inategemea sana

kama ni bar maid anamaanisha next step ni ipi?

unachukua chumba?
utamlipa kiasi gani?

kama ni msichana wa kawaida anakutoa tu woga ili uongee uliyomuitia...
 
Eti unapokuwa umekaa sehem na mwanamke (popote pale), na ukawa mara nyingi uko kimya hivi kisha anakuambia, 'mbona huongei? Ongea basi...' Hii inamaanisha nini?

Nadhani anakuwa anataka muongee kama nia yakwenda huko mahali ilivokuwa
 
Eti unapokuwa umekaa sehem na mwanamke (popote pale), na ukawa mara nyingi uko kimya hivi kisha anakuambia, 'mbona huongei? Ongea basi...' Hii inamaanisha nini?

Hakutegemea kama utakuwa vile, anatarajia stori nzuri hasa, lakini utafiti unaonesha mwanaume anaongea maneno 1250 kwa siku wakati mwanamke 2500 kwa siku....so kawaida
 
Ana maanisha unamboa na ukimya wako bora ungekuwa bubu akajua tu yuko na bubu.
 
Anamaanisha kuwa aha blah! blah! blah! ONGEA VITU VYA MSINGI, VYA UKWELI NA UHAKIKA vilivowapeleka hapo kuongea sio kuendekeza ZUNGUKA MMBUYU!!!!!!!!!!!! Waenda kuomba KIDUDE waanzisha maongezi yasiyo na tija, eti mama anaendeleaje, kazi vipi, nyumbani wazima! blah blah blah! YAHUUUUUUUUUUUUUU! Akhaaaaaaa! HAIHUSU BABU WEE!
 
Duh! Majibu mseto kweli. Hapa nazungumzia maongezi ambayo hayahusiani na aina yoyote ya appointment. Rutta, na Von yawezekana mko sahihi. Ila nami si ananiboa kutaka kuongea tu? Kwani ni lazima kuongea tu hata kama huna mood? Na wala hamkupanga appointment yoyote? Imetokea mmekutana tu na mna urafiki fulani
 
Eti unapokuwa umekaa sehem na mwanamke (popote pale), na ukawa mara nyingi uko kimya hivi kisha anakuambia, 'mbona huongei? Ongea basi...' Hii inamaanisha nini?

Inategeme, sidhani kama ni mpenzi wako la kuongea linakosekana, sjasema hata pumba uongee
 
Back
Top Bottom