Niibe

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Niibe

Niko radhi kuibiwa, madhali mwizi ni wewe
Kwenye khatari kutiwa, Ni wewe pweke ni wewe
Niibe nipate tuwa, Nakuruhusu mwenyewe

Nimekubali mwenyewe, niibe ‘sinidhulumu
Kinipunguwe kiwewe, nitachukua jukumu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom