Night shifts ...changamoto zake ni zipi??!!

kazi nyingine zinataka moyo i see...
unaweza jikuta kila siku unavizia wodini kucheki my wife wako anafanya nini....hadi utimuliwe na walinzi
 
Unataka kusema manesi sio waaminifu..?

wengi wao, lakini wapo ambao ni determined na wanalinda ndoa zao. Wanashawishika sana kusaliti ndoa. Chezea utani wa theatre wewe!!!!... Mi wa kwangu ananishawishi nije kubadili fani au niwe nafanya kazi zisizohusisha kuexamine wanawake kama kitengo cha watoto, macho. Wanawake wengi hawajiaminhg na ni wepesi kushawishika hata kama wanafanya kazi mchana. Jiulize kwa nini ofisi za siku hizi chooni kuna condom?!
 
Babu DC shkamoo.

Babu ni changamoto tu za maisha .
Hichi kizazi chetu cha Dotcom bila fedha
Hatuwezi ishi tofauti kidogo na 47 I guess kipindi hicho bila shamba na mifugo maisha ni utata. Miaka hiyo jembe miaka hii mtumikie mkoloni

Anyhow sababu ya hizi kasi za maisha ya miaka hii lazima tukubali ku sacrifice kitu fulani na ku change time table kwenye vitu fulani fulani ...

Tumezoea. Mfano mzuri tu huu hapa partner anafanya kazi ni Dr. Kwenye emergency Department. (ED) yuko night shift. Mdada ndo anae endesha business zenu zote halafu juu ya hapo mna mtoto ...

Ukiangalia week nzima ni full on. Lakini ile siku ambayo mko off.ndo mambo yote yanafanyika hata na hivyo ni muhimu sana kutafuta masaa matatu au manne kwa siku ajili ya familia ... hizo holidays at least mara mbili kwa mwaka na familia mnaenda mahali kwa wiki 3-4 hivi... maisha ni rush hour siku hizi babu ...

Msalimu bibi ...
 
night shift kazi kweli kweli, mimi nimefanya sana night shift kweny kiwanda fulani, wazee waliitumia sana kulala nyumba ndogo. Ikitokea off tu, anaaga nyumbani kuwa kaenda kazin kumbe wapi bwana. cku moja jamaa alikuwa off usiku sensor ikazingua ikabid tumpigie simu atwambie standby sensor kaiweka wapi, hakupatikana. Kumpigia my wife wake akasema kaaga anakuja kazini. tukamwachia bonge la msala nyumbani kwake.
 
....ok, ok...

Ndoa ni ndoa, haijalishi ni mchana au usiku, hata tendo la ndoa halihusu muda,
kinyume na wanadamu na hulka zao...imefikia kuhusisha tendo la ndoa na chumba, giza pamoja
Na siku za baridi/mvua....

Kazi za shifti haziepukiki...mfano, nurse, doctors, police +security jobs, zima moto, newsroom, etc
vile vile marubani, madereva, na hata Ma DJ na wanamuziki....'sic'
maisha ni makubaliano tu, iwe usiku au mchana...muhimu kuheshimiana, na maelewano.
 
Ni kweli kaka,

But we have grown to know the normals....sasa hizo changes lazima zilete challenges....

Na hizo challenges ndo tunaelemishana bro?

Upo hapo?
 
Dadavua kidoho ili tupate uhondo Hus,

Inaonekana uko fully informed au vipi??

Babu DC!!

kuna mkaka rafiki yangu ana mke anafanya kazi 9t shift. Ngoja nimuulize changamoto anazokutana nazo ila mpaka sasa nimeshanote kuwa huwa anaboreka sana nyakati za usiku na hafurahii.
 
kuna mkaka rafiki yangu ana mke anafanya kazi 9t shift. Ngoja nimuulize changamoto anazokutana nazo ila mpaka sasa nimeshanote kuwa huwa anaboreka sana nyakati za usiku na hafurahii.

Safi sana Hus,

Ukirudi tumegee utakachovuna huko....

Unaweza pia kumkaribisha jamvini tupate ma uzoefu yake!!

Babu DC!!
 
Babu DC shkamoo.

Babu ni changamoto tu za maisha .
Hichi kizazi chetu cha Dotcom bila fedha
Hatuwezi ishi tofauti kidogo na 47 I guess kipindi hicho bila shamba na mifugo maisha ni utata. Miaka hiyo jembe miaka hii mtumikie mkoloni

Anyhow sababu ya hizi kasi za maisha ya miaka hii lazima tukubali ku sacrifice kitu fulani na ku change time table kwenye vitu fulani fulani ...

Tumezoea. Mfano mzuri tu huu hapa partner anafanya kazi ni Dr. Kwenye emergency Department. (ED) yuko night shift. Mdada ndo anae endesha business zenu zote halafu juu ya hapo mna mtoto ...

Ukiangalia week nzima ni full on. Lakini ile siku ambayo mko off.ndo mambo yote yanafanyika hata na hivyo ni muhimu sana kutafuta masaa matatu au manne kwa siku ajili ya familia ... hizo holidays at least mara mbili kwa mwaka na familia mnaenda mahali kwa wiki 3-4 hivi... maisha ni rush hour siku hizi babu ...

Msalimu bibi ...

Asalamu zimefika AD....

Ila sasa hao wanaoishi kwenye rush hours wanapata vichangamoto vipi?

Sie enzi zetu tukitoka shamba mchana ni mpaka kesho...ila Babu anapata muda kidogo kwenye kuvuta kiko na wazee wenzie....

Nyie mnakutana na yepi, especially kwa wale KCC ambao hawawezi kumudu luxury ya kwenda likizo? Sana sana watajibana kwenye room yao moja isiyo na ceiling board, na wanaishea na watoto

Babu DC!
 
Smile, Utamzoea tu kwa vyovyote atakavyo kuwa ili mradi awe ndie wako ulie andaliwa na Mungu
 
...mstaafu vipi? kwema...?

...haya bana, madhali umeyataka ya uvunguni ngoja nikupe akiba yangu ya maneno...
kaka, kwenye mapenzi hakuna kazi mbaya...kazi ni kazi almuradi mama watoto anasaidia
kupunguza makali ya maisha...hiyo kazi iwe ni ya mchana au usiku sawa tu...

...la pili, ikiwa ni mtu mwenye wivu sana, basi ombea mkeo afanyae kazi ya kutangaza Tv, au
radioni...maana kwenye luninga si utakuwa unamuona bana,....na radioni unamsikia...lakini jua
pakiwekwa tangazo la biashara au muziki...hizo dakika tano zinatosha kabisa watu 'kuchimba dawa'...

...la msingi kwenye sekta hii ya 'hamadi kibindoni' ni kuaminiana tu na kumuachia mungu afanye maajabu
yake, ..."ukimchungua kuku hutamla!"

Kwa hali hii ya kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa kila kukicha wasiwasi na kutoaminiana lazima kuwepo
 
mtu kama kiwembe ni kiwembe tu hata kama kazi yake ni mchana tu..miye naingia night kama kawaida na bado sijashawishika kumsaliti bby wangu.ila yeye uaminifu zero kabisa,yaani kila mara lazima apige simu hewani.ole wangu niingie operation usiku bila hata kumtext ntakiona cha mtema kuni

Kumbuka hata mazingia yanachangia kusalitiana
 
Back
Top Bottom