Nigerian men..

pauline

JF-Expert Member
Dec 26, 2010
650
140
are the most handsome men in Africa!...i mean in the whole wide world!!!!!mweh! embu cheki 38-Jim%20Iyke.jpg
 
hivi mnawekaje picha inakuwa kubwa????lol mie siku zote nikiweka vinatokea kadoooogo?! lol:dance:
 
are the most handsome men in Africa!...i mean in the whole wide world!!!!!mweh! embu cheki View attachment 30875


Mmmh, kama sample yako umechukulia kwa wacheza movie unaweza kufanya conclusion isiyo sahihi, naomba utuletee picha za wanaijeria ambao sio wacheza movie tuone, manake mie hawa ninaowaona huku ulaya wanapambana naona hawana hiyo sifa unayowapa!
 
Mmmh, kama sample yako umechukulia kwa wacheza movie unaweza kufanya conclusion isiyo sahihi, naomba utuletee picha za wanaijeria ambao sio wacheza movie tuone, manake mie hawa ninaowaona huku ulaya wanapambana naona hawana hiyo sifa unayowapa!


nimeweka tu hio picha ila sijadraw conclusion kutokana na hao waigizaji,bali tunaoishi nao uliza mdada yeyote atakwambia nigerian men are sooo hot naogopa kuiba picha za watu lol
 
If you want to see ugly and handsome Nigerians,angalia Magic World Yoruba,Magic World Hausa and Magic World Plus kwenye DSTV
 
wanasifika kwa wizi dunia nzima

hilo la u handsome ndo nasikia leo


ndo maana kuna nigerian scam

hiyo ndo sifa yao
 
Shindanisha sura za wanaume wa nigeria na tanzania walioko kwenye 'cover story' za filamu, halafu tuletee tathimini.
mwanaume hasifiwi sura weye,hao wa kwenu na sura za mama zao na miili ya dada zao
 
Wanawake wa kiganda na kinyaruanda wapo juu sana ni wazuri sanaaaa kuliko wa tz:biggrin1: mie nawazimikia kweli na wanajua mapenzi ila wa kibongo mmmh 0%
 
Back
Top Bottom