Nigerian actress mercy Johnson's wedding..........

jamani harusi ya zamani hivo wewe unatuwekea leo asante

asante kwa kuikubali hii album ya kumbukumbu...............ipo sababu nyingine ambayo inahusu kanumba na huyu mama......waijua?
 
mbona story ya zamani hii

nyie wanaume si ndio zenu kuoa hata wanawake bila aibu kuongeza tu kisa mnajua wenyewe

jina lenyewe ni mzurimie.........sasa unatarajia nini kama siyo kuolewa mara tatu tatu..............acha tuweke album yetu vizuri.......
 
Back
Top Bottom