Nifanyeje?

Uparo

Member
May 4, 2012
55
9
Ndugu wazima,mm ni muhitimu wa shahada mwaka 2012 napenda sana kujiunga na jeshi napenda kutoka moyoni na nipo tayari kupitia jkt ila umri wangu kwa sasa ni miaka 25 je mwakani watanikubalia kujiunga na jkt wakati umri utakuwa umesogea?anayejua anijuze pia nimesomea shahada ya mipango kazi,menejimenti na maendeleo ya jamii yaan ba.PROJECT PLANNING,MANAGMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT
 
Sasa mtu kama wewe jeshini utaenda kufanya nin na hiyo shahada yako ya mipango?
 
Jeshini uwa wanatangaza nafasi za kazi za kuitaji wataalamu(wasomi), nielewavyo mimi, umri hauwi kigezo. Usisite kupita eneo husika kwa maelezo ya kina
 
Sasa mtu kama wewe jeshini utaenda kufanya nin na hiyo shahada yako ya mipango?

mkuu jifunze kutoaga comment za kumpa mtu moyo au za ushauri, kila nikisomaga comment zako huwa ni za kuwakatisha watu tamaa,
 
Ndugu wazima,mm ni muhitimu wa shahada mwaka 2012 napenda sana kujiunga na jeshi napenda kutoka moyoni na nipo tayari kupitia jkt ila umri wangu kwa sasa ni miaka 25 je mwakani watanikubalia kujiunga na jkt wakati umri utakuwa umesogea?anayejua anijuze pia nimesomea shahada ya mipango kazi,menejimenti na maendeleo ya jamii yaan ba.PROJECT PLANNING,MANAGMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT

Kaaribu uraiani. Huko Jeshi ni kuzuri tu, jaribu! pia nakushauri umesoma kozi ya kuweza kujiajiri, bwana mipango wewe, watanzania wanahitaji sana skills au akili ya kuwawezesha kimiradi. Mimi nilisoma BA economics, then MCED, na pia nina certificate ya Resource mobilisation na project planning and write-ups; nina jishughulisha na project Consultancy services.
 
Fika JKT makao yao makuu wataheshimu confidence yako ya kuwafwata. usishangae wakakupost direct kambini kwa ujasiri wako..wanahitaji maplanner kama nyie .mipango ipo popote..MUNGU ataibariki nia yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom