Nifanyeje?

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Msaada wenu tafadhli maswhba,mimi nko chuo mwka wa 2,kisa chngu kiko hvi.mwka huu walvokuja mwka wa1 alitkea mdada hv akatokekunipenda,uyu mdada ni mcha mungu sna,kutkana na mapnz alokua nayo na tabia zke pia bas tukajikuta 2mepndana,tatzo linakuja nkimwmbia habar mayb za our love in future anabdilika sana hatki hata kuckia,juz nikamwmbia bc kma anaona hna future na mim 2e marafki tu wakawaida akanikubalia tue marafki,chakushangaza jana kaja analia anasema awezi kuish bila mapnz yngu,ananipenda sana ila anaogpa!!ili asiendele kulia nkamkubalia,sasa nashndwa kuelewa nfnyje cz ts lyk nafuga mbwa asie wnda,ye anachojua nikuniuliza kma nimekula,nafnya nin,na nakupnda basiii,lakn nkmwmbia yale mapnz ya ndn kdgo anakua mbngo,nfnyeje??msaada kwnye tuta tafadhali.
 
Maybe she just doesn't like you like that.Mtu anaweza akakupenda na bado asiwe attraced na wewe.
 
Maybe she just doesn't like you like that.Mtu anaweza akakupenda na bado asiwe attraced na wewe.

na si ajabu hana naye muda mrefu...

Asiharakie sex..wanaume shida yetu tukipewa sex tu basi! Mwanamke ukimuona sasa anajileta mwenyewe,unawaambia washkaji zako mwambieni sipo... Na wao hawapendi kuongezewa mileage pasipo sababu za msingi..
 
Vyuo vya kisasa navyo hovyoooo!! mapenzi ya ndani kabisa ndo yapi hayo unasema? Mwache mtoto wa watu asome.
 
Halafu huu uandishi wa kukata maneno huu kama anaandika sms ya simu hadi unabore. Unashindwa kuelewa anamaanisha nini
 
Halafu huu uandishi wa kukata maneno huu kama anaandika sms ya simu hadi unabore. Unashindwa kuelewa anamaanisha nini
Madenti wote ndio uandishi wao huo! sasa anaomba ushauri kwa wanafunzi au watu wazima?
Yeye haoni sisi tunavyoandika!
 
Mleta mada huna lolote unataka U-sex na huyo mchamungu alafu uache MANYOYA? Alafu ukajisifie mbele ya wenzio kuwa umepiga demu mchamungu? Alafu hiyo future we mpaka Mkisex ndo inazungumzika? MWISHO analia usije ukashikwa na sup
 
Halafu huu uandishi wa kukata maneno huu kama anaandika sms ya simu hadi unabore. Unashindwa kuelewa anamaanisha nini

sikua na maana ya kusex naye,lakini nashukuruni sana kwa ushauri wenu nitamwacha mtoto wa watu asome.kuhusu kukata maneno samahani kwa niliye mkwaza..
 
Aisee nimependa tu hivyo vifupisho vyako zaidi, yaani ni kama sms kumbe ni thread.
 
unataka ku-do nae? mwache mcha Mungu maandiko yanakataza ndo maana linaitwa tendo la ndoa...
 
Madenti wote ndio uandishi wao huo! sasa anaomba ushauri kwa wanafunzi au watu wazima?
Yeye haoni sisi tunavyoandika!

Inashangaza wanafunzi ndo wanaanza masomo na kuanza kujiwekea malengo ya kimapenzi
Zingatia masomo na tafuta mustakabali wa maisha yako na kama una malengo mazuri na huyo binti heshimu msimamo wake pia. Na mambo mengine ni ya kukaa na kuzungumza nae ujue anataka nini na anahitaji nini kwako
 
Pole ndugu, ila usiwe na haraka haraka ya kukimbilia mapenzi ya ndani ndani maana kuna wanawake wengine wana misimamo yao, yaweza kuwa huyo ndio mke mungu aliyekujaalia, jaribu kuwa na subira kaka!
 
Back
Top Bottom