Nifanyeje?

ngwesa

Member
Jan 27, 2012
24
1
Nina mchumba lkn anataka anihamishe kule anakoish yeye ikiwa cna uzofu nako ktk utafutaji, maisha yatalega sana;
 
Mimi naona keshaona hapo hauna mang'azo ndio maana anataka kuchukua lead
 
wewe umekuja hapa juzi una tafuta wife2be mbona hueleweki wewe? We wa wapi?
 
Back
Top Bottom