Nifanyeje

Yaani umekosa kabisa mwanaume mwingine?? Mweehh Dunia hii ina mambo
Lakini kuna makabila yanaruhusiwa kuoana mabinamu...........................
Kama ruhusa poa tu

Swali la kizushi: Na huyo binamu nae anakupenda kama vile wewe unavyompenda??
au ni kwasababu wewe umempenda?? (Si lazima ujibu)
Shem,hawa ni 2nd cousins,kama ni upande wa kuumeni mi naona ni marufuku maana wana u bin mmoja (meaning babu zao walikuwa baba mmoja mama mmoja),lakini kama ni ukeni (bibi zao baba mmoja mama mmoja) mi naona kiafrika hapo ruksa maana ni ukoo(oluganda) tofauti kabisa.
Sijui unaonaje shem hapa?
 
Mtakua wachaga tu nyie!Anway,nenda kwenye kitabu cha iman yenu mkaangalie kinasemaje kuhusu hii kitu!
Labda wachaga wa singida au dodoma...ila kwa wachaga wa kilimanjaro nnapopajua mimi hawana huo upuuzi wa kuoana mtoto wa mamkubwa na mamdogo/ mjomba au shangazi. Hao ni kaka na dada kabisa..
 
Zinaweza kuwa ni hisia za muda tu, zitakwisha ila msifunge ndoa na kama jamii yenu haina utamaduni huo,mtaonekana kama kioja kwenye familia na ukoo na hamtakuwa na amani.Good luck
 
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.

Cheiki kama imani ya dini inaruhusu, fanyeni mambo. mungu kakataza na kakeme zinaa. Fanyeni muonane kamimani zenu za dini zinaruhusu. Kam ningekuwa mm ningeoa.coz imani yangu inaruhusu kuoana binamu

Binaaaaaamuuuu nyama ya hamuuuuuuuuuu....!
 
ahsanteni wote kwa maoni yenu, yan so hard kiukweli at first tulikuwa kawaida tu lakini tukawa close tukakuta kuna vitu tunashahabiana. siku moja akanikaribisha kwake nikaenda kumtembelea hapo nilienda kama causine na wala sikuwa na mawazo yeyote ya kuwa mpenzi wangu. but nilivyokaa nae muda mrefu kwa siku hyo nkaanza kufeel tofauti nkawish asingekuwa ndugu yangu mana ni mcheshi, lovely lakini nikasema huyu ni ndugu yangu sitakiwi kuruhusu huu ujinga kufanyika. but you kn wat happen wakati naondoka kurudi hme wakati namuaga akanikumbatia zero distance then akanikiss. jamani tulifanya romance kiukweli ila atukuvunja amri ya sita mana nilikuwa kwenye siku mbaya. baada ya hapo nilifeel tofauti kiukweli na nikatamani awe mpenzi wangu ila nikasema nipotezee mana sijui upande wa pili na nkajitahidi kujisemea mwenyewe kwamba kissing with ma causine ni mistake na sitakiwi kuirudia hii mistake ila tatizo linalonikabili ni kwamba huyo causine nae anasema since amenikiss anafeelings juu yangu ndo mana hapo naona ugumu. binafsi najua ili ni kosa ila yeye anaona ni sawa na kila ninapojaribu kumuelezea ili na yeye aone ni kosa hanielewi anachosema tu ni kwamba mimi nakupenda hayo mengine sitaki kujua. ndo mana nikalileta ili kwenu mnisaidie. siyo utani ni issue ambayo iko serious na inaniumiza kichwa kwa kweli. kama mungu ananipa mtihani nahisi huu ntafeli jamani. please naomba mnisaidie nadhani ushauri wenu utanisaidia kufanya maamuzi mazuri. thank you all
 
Hebu nikuulize hauna boyfriend wewe?? ni huyo binamu yako tu
 
kaziii kweliii..kweliii nyie mzigirwaa na tamaa za mwilii 2 hamana lolote,huyo binamu wako anamzukaa wa kukusaulaa 2 sio feture,Dena hapoo juu kauliza swalii zurii wewe huna boylover wako huyo binamu yako hana gallover wake.epukaa kuka nae sehemu peke yenu hasa ndani,sehemu private cse ndo hisia za kugonokaa zinapo chakachua roho na kukufanya kulengea na kumchojolea binamu yako.
 
fanyeni kwa siri siku moja ili kila mtu nafsi ifurahi. over
 
duh za dizaini hi I fresh, hapo hakuna mizinga ya kipuuzi puuzi, nyie pigeni show tu Ila msioane sawa mama.
 
kiukweli sina boy lover, tumeachana juzi na anaoa mwezi huu wa 11. na sikuwa na mwanaume mwingine zaidi yake. nahisi hii pia inachangia mana ningekuwa na boy lover haya ya binamu yasingekuwepo.
 
twapendana, kabila letu haliruhusu kabisa hayo mambo.

Kama kabila lenu haliruhusu mliaanzaje kupendanakama si kujidekeza? angalieni mambo mambo mengine ni laana ndugu zangu.
kuna utupu wa kaka/dada yako ni kujilaani mwenyewe
 
ahsanteni wote kwa maoni yenu, yan so hard kiukweli at first tulikuwa kawaida tu lakini tukawa close tukakuta kuna vitu tunashahabiana. siku moja akanikaribisha kwake nikaenda kumtembelea hapo nilienda kama causine na wala sikuwa na mawazo yeyote ya kuwa mpenzi wangu. but nilivyokaa nae muda mrefu kwa siku hyo nkaanza kufeel tofauti nkawish asingekuwa ndugu yangu mana ni mcheshi, lovely lakini nikasema huyu ni ndugu yangu sitakiwi kuruhusu huu ujinga kufanyika. but you kn wat happen wakati naondoka kurudi hme wakati namuaga akanikumbatia zero distance then akanikiss. jamani tulifanya romance kiukweli ila atukuvunja amri ya sita mana nilikuwa kwenye siku mbaya. baada ya hapo nilifeel tofauti kiukweli na nikatamani awe mpenzi wangu ila nikasema nipotezee mana sijui upande wa pili na nkajitahidi kujisemea mwenyewe kwamba kissing with ma causine ni mistake na sitakiwi kuirudia hii mistake ila tatizo linalonikabili ni kwamba huyo causine nae anasema since amenikiss anafeelings juu yangu ndo mana hapo naona ugumu. binafsi najua ili ni kosa ila yeye anaona ni sawa na kila ninapojaribu kumuelezea ili na yeye aone ni kosa hanielewi anachosema tu ni kwamba mimi nakupenda hayo mengine sitaki kujua. ndo mana nikalileta ili kwenu mnisaidie. siyo utani ni issue ambayo iko serious na inaniumiza kichwa kwa kweli. kama mungu ananipa mtihani nahisi huu ntafeli jamani. please naomba mnisaidie nadhani ushauri wenu utanisaidia kufanya maamuzi mazuri. thank you all

Katika hatua hiyo hakuna ushauri wowote ambao tunaweza kukupatia ukautendea kazi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu lakini mfahamu kuwa mnachokifanya ni makosa sana tena sana ndugu zangu.
 
na yeye binamu alikuwa anasema hvyo hvyo tufanye then tuishie hapo, sasa tukinogewa je? kiukweli kwangu akili inawaza kuvunja nae amri ya 6.
 
Duh!!!!!!!!
pole sana dada yangu tena pole najua uko ktk wakati mgumu na kwa jinsi ninavyoona unavyojieleza huwezi kuondoka ktk mtego huo, haya ninyi fanyeni ila ipo siku aibu itawakumba na mtajutia jambo hili. ninakusikitikia sana kwa hilo. niliwahi kuona mtu na mtoto wa mama yake mdogo walikuwa na mchezo huo ila sijui walifanya mara ngapi lakini kilichotufanya sisi wengine tujue ni ujauzito alioupata binti na alipoulizwa ilibidi awe mkweli, yaani huweziamini ilikuwa aibu kubwa sana, yule dada alitoroka ktk eneo hilo kwa aibu kubwa
 
na yeye binamu alikuwa anasema hvyo hvyo tufanye then tuishie hapo, sasa tukinogewa je? kiukweli kwangu akili inawaza kuvunja nae amri ya 6.

dada.... mkisha do mtatamani kuendelea hivo hivo, mie sina ubaya cha kufanya nakuambia km vodacom
KAZI NI KWAKO
vunjeni hiyo amri kwani wanasema sheria zipo ili zivunjwe.................
remember DO IT HARDLY OR DONT DO IT AT ALL
 
Back
Top Bottom