Nifanyeje psychological punishment kwa wife?

kabla hujatafuta adhabu kaa chini tafakari hayo "maamuzi yako" anayokaidi? je yanakuwa win win situation? unatoa maamuzi ya kibabe? unamsikiliza anachotaka? ila ndani ya nyumba kuwe na amani lazima wote wawili mkubaliane. lakini mmoja anapokuwa ni muamuzi wa kila kitu matokeo yake ndo hayo.
mkeo amekwambia kwa nini "kapitiliza" siku? Fine wanaume mnasema nyie ndo vichwa, ndo waamuzi lakini siku zote nyumba yenye fuaraha na mafanikio huwa wanasikilizana,wanajadiliana, wanaacha umimi na kuweka "sisi". Kama kuna mbabe ajishushe la sivyo mtafarakana kila siku. Kumbuka mke si mtoto, ni mtu mzima mwenye akili timamu mwenye maamuzi yake ili muwe katika mstari ulionyooka lazima muwe mnakubaliana.

wewe na mkeo mkajitafakari kuna tatizo kubwa kati yenu.

:focus:

mnyime unyumba(ila ujue madhara yake..... usirudi jamvini unalia)[/

alisema anamsubiri dada yake aje amuone mtoto, tukakubaliana trh 18 awe amerudi, lakin amekaidi. NAMFUKUZA CHUMBANI ALALE NA BEKI TATU
 
Mmh! Kazi kwelikweli. Je ni mara yake ya kwanza kukaidi? Kuna nini kwa mama mkwe mpaka agombee kufanya sherehe kule? Hapo kwako kuna mapungufu gani? Au kuna jamaa wa zamani walienda kukutana kule?
Mimi adhabu kubwa ninayompa mtu aliyefanya makosa ni kukata mawasiliano kabisa. Iwe simu au maongezi ya ana kwa ana. Kama anakupenda itamuumiza sana, ila kama hakupendi haitamsumbua. Uzuri wa kukaukiana ipo siku mtacheka tu.
SIO MARA KWANZA. HAPA HAKUNA TATIZO. KISA DADA YAKE PIA ALIKUJA KWA MAMA YAKE. KUHUSU JAMAA WA ZAMANI SIJUI
 
alisema anamsubiri dada yake aje amuone mtoto, tukakubaliana trh 18 awe amerudi, lakin amekaidi. NAMFUKUZA CHUMBANI ALALE NA BEKI TATU

Kama kupitiliza hapo kazidisha...so christmas umei-spend alone...Pole sana. Hiyo adhabu kwa kweli utamnyoosha,maana hadi beki 3 atajua master bedroom kimenuka...

Otherwise,user name yako...nimeipenda!
 
Nakaribia kuchoka na ndoa za leo!Ndugu hebu tulia kwanza usifanye chochote baada ya mwezi mmoja kisha ndo uamue.Nina maana yangu kukuambia hivyo,hebu aribu!
 
alisema anamsubiri dada yake aje amuone mtoto, tukakubaliana trh 18 awe amerudi, lakin amekaidi. NAMFUKUZA CHUMBANI ALALE NA BEKI TATU


hiyo tarehe 18 mliyokubaliana dada yake alikuwa ashamuona au bado? halafu ukimfukuza chumbani utapata faida gani? zaidi housegirl atawadharau, unadhani itasolve tatizo? badala ya kukaa mzungumze mnafukuzana. Ndoa sio lele mama ndo maana nikakwambia nyie watu wazima wawili hamuendeshwi kwa kuamrishana ni kwa kuzungumza kwa upendo na kukubaliana
 
Nakaribia kuchoka na ndoa za leo!Ndugu hebu tulia kwanza usifanye chochote baada ya mwezi mmoja kisha ndo uamue.Nina maana yangu kukuambia hivyo,hebu aribu!

bora wewe unakaribia kuchoka, mie ndo nishachoka kabisa
 
hivi hizi ni ndoa au ndoana??? ndo mana siku hizi wengi tunaamua kubaki peke, si wanawake si wanaume wote ni wale wale tu. ah.






/
/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom