Nifanyeje nipate interest ya kumsikiliza raisi wangu?

Its really a borind speech. Imagine some of the called elders of Dar are sleeping, unaware of what is being said!
 
msimchoke laisi wenu..nchi zingine wanatamani wangekuwa na laisi km wenu.
 
Leo anaongea na wazee wa Dar, lakini TV zitaonyesha ili watu wasikie na waone. Tatizo mi sina interest ya kumsikia , yani hata nikijilazimisha. Hili nahisi ni tatizo sasa...
Kwani leo alikuwa hatabasamu...............
 
Serious hili tatizo hata mimi limenikumba nakumbuka enzi za Mkapa nilikuwa sikosi hotuba zake, maana japo ni mwanasiasa lakini hotuba zake nyingi zilikuwa za kisayansi, lakini huyu mwenzangu na mimi mpaka najisikia kinyaa.
Sayansi ya kuwalisha Watanzania majani ili ndege ya rais inunuliwe?
 
Unataka kumsikiliza au kusikia akiongea??
kama unataka kusikia akiongea tafadhali kunywa bia angalao 3, kama unataka kumsikiliza,
tafadhali muone daktari wa vichaa, atakupa dawa ya kukuwezesha kumsikiliza

Ah! no, hata kama sio shabiki wa CCM inabidi nipingane na mawazo haya.
 
Tumia sigara pori huwa ina tendency ya kuamsha hari ya kufanya jambo ambalo usingelifanya kabla ya kuitumia.......
 
chukua flag ya chichim,loweka kwenye beseni kubwa kwa muda kidogo,wacha ichuje vizuri halafu kunywa supu yake yote kutwa mara tatu kwa wik nzima,hapo utakuwa na apetaiti uitakayo
 
Leo anaongea na wazee wa Dar, lakini TV zitaonyesha ili watu wasikie na waone. Tatizo mi sina interest ya kumsikia , yani hata nikijilazimisha. Hili nahisi ni tatizo sasa...

Kunywa maji ya baraka mapepo yakutoke.
 
You don't loose anything by not listening to him.
Leo anaongea na wazee wa Dar, lakini TV zitaonyesha ili watu wasikie na waone. Tatizo mi sina interest ya kumsikia , yani hata nikijilazimisha. Hili nahisi ni tatizo sasa...
 
jikumbushe kuangalia tom and jerry alaf kama tom anaongea vilee......
au fikiri ni ze comedy mpya...unaweza waza uko kwenye shoo ya taarab if ur intrested. pengine utapata stim za kumsikiliza.
mi nina miaka sijamsikiliza.......
 
Back
Top Bottom