usijari kaka piga moyo konde ni vijimambo tu visikutishemstari huu umenikuna sana kama accountant
thax mkubwaKama unania ya dhati re-sit masomo ya sayansi then usonge mbele.
Usijali penye nia pana njia
thank youNakushauri we saka hela. Elimu inazidi kukuweka mbali na mafanikio.
Kwakuwa una ki-elimu kidogo, na una mpango wa kufungua kampuni yako, we angalia jinsi gani ya kusimamia miradi yako.
We saka hela. Somesha wanao.
nenda veta soma building system mpaka grade three ukitoka hapo nenda dit ukimaliza pale upo nondo kupita mtu wa udsm.....kuhusu kurudia mitihani achana nalo....utapoteza muda wako buleee
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy)
nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo lakini haiipo damuni ingawa nimekua niikiifanyia kazi katka moja ya campany ya ujenzi,ndoto yangu hasa toka zamani ni kuwa civil engineer,nifanyeje?
Naomba ushauri kwani matokeo yangu ya form four hayakua mazuri sana
nina C ya mathematics na D kama tatu na ma-F ya kumwaga
mstari huu umenikuna sana kama accountant
Uwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
kaka sijakupata!100% true
Well come!!!!!!!!
Waweza japokua itakua kwa njia ndefu na yawezekana ikawa pia ngumu!!
Ngoja nikuulize kidogo!! kwanini umeamua kutaka kua Civil Eng.? na ni kwa ajili waona wahindisi hapo tu sio sahihi lakini kama ni ndoto yako toka mwazo ni poa!!
najua watu watakuja hapa kukataa!! lakini hii ndio facts tofauti na fani nyingine uhandisi wataka dhamira ya dhati toka mwanzo wa safari ya elimu na nataka kutofautiana na KING'ASTI ni kweli CIVIL ENGINEERING ni ngumu kuliko CPA na yaweza kua ngumu sana kama aikua option yako toka mwanzo.
Kama unania ya dhati waweza anza na veta level 1& 2 ya kozi yenyewe iwe ya civil, ukifahuru vizuri waweza jiunga na technical college kwa masomo ya FTC na hapo utaanza kuonja kaugumu, tofauti na zamani siku hizi maisha yamekua kidogo rahisi kwani hata kama ukufahuru vizuri FTC ila usikamatwe waweza jiunga na ADVC. in civil engineering na baadae post graduate.Zamani ilikua ngumu sana mtu wa FTC kuingia university kwani walitaka upate average ya B positive ambayo ni mbinde sana.
Ila umenifurahisha umekaa na wahindisi umeona inalipa eeeh!!
Nakumbuka enzi zetu tumemaliza huhandisi ulikua njaa mabaya lakini sasa twabembea!!!!
Karibu dogo
mkuu kumbe unaweza ukamaliza civil then ukaaenda kufanya CPA?do nakuonea wivu mkuu...nami niombee nifike hukoImekukuna lakini ni kweli kwamba CPA sio ngumu kiivyo, tatizo la wengiwenu mnaisoma wakati Maths. ni mamamkwe nilimaliza engineering miaka ya tisini na nikaipiga CPA kama nalia na ilikua cheap ki noma!!! ukikitaka isikusumbue kua mzuri kwenye maths. especially logic
mkuu siku hiyo nimetoka ERB ntafurahi sanaUkimaliza kusoma, nenda kasajiliwe na ERB
Haina ugumu wowote usitake kuvunja moyo wenzio