nifanyeje kuwa civil engineer?

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy)
nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo lakini haiipo damuni ingawa nimekua niikiifanyia kazi katka moja ya campany ya ujenzi,ndoto yangu hasa toka zamani ni kuwa civil engineer,nifanyeje?
Naomba ushauri kwani matokeo yangu ya form four hayakua mazuri sana
nina C ya mathematics na D kama tatu na ma-F ya kumwaga
 
Sasa ndugu, kwanza jenga mahusiano mazuri na hao wahandisi hapo kazini kwako. Wapo kwenye nafasi murua ya kukusaidia na kukulekeza. Lakini zaidi ya kurudia mtihani wa form 4, ufanye wa form 6 then ukasomee digirii ya civil engineering; alternative ni kuonana na watu wa Veta. Kuna course zao ambazo ukisoma zinakupa equivalent qualification ya kuingia chuo kikuu.
Angalizo: jipange kiuchumi ukiweza ufanye kazi wakati unasoma ili usitegemee wengine sana. Kila la kheri
 
nashuku sana
kiiuchumi nimejipanga vilivyo ninavibiashara ambavyo vinaendelea,ninakitu kimoja ambacho huwa binafi ninakipenda kusoma kwa kuunga unga kama ulivysema kupitia veta
nimejaribu kuongea na hawa wahandisi walinipa altenative ya kutafuta chuo ambacho kinatoa chet cha civil engineer kwanza naabadae kuendelea
lengo sijiandai kuajiriwa kama engineer bali kujiari kwan tayari nina kampuni ambayo namapango wa kuisajiri kufanya kazi na ukandalasi kwa kua ni moja ya kazi ninayo ipenda.hivyo ninaamini kwa kusoma kwa kuunga unga kutanifanya niive vizuri katika fani husika au unasekamaje king'ast
 
kama kweli ndoto yako ni hiyo tafuta hizo kozi ulizoshauriwa ili zikuwezeshe kufikia malengo yako...kila la kheri ndg
 
Uwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy)
nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo lakini haiipo damuni ingawa nimekua niikiifanyia kazi katka moja ya campany ya ujenzi,ndoto yangu hasa toka zamani ni kuwa civil engineer,nifanyeje?
Naomba ushauri kwani matokeo yangu ya form four hayakua mazuri sana
nina C ya mathematics na D kama tatu na ma-F ya kumwaga
 
Jaribu kurudia mitiani yako englsh,physics na chemistry ukifaulu englsh na physics itakusahdia utaweza kupata admision ya kujoin DIT kupitia course yao wanaita pre-ods<ordinary diploma> ukifaulu ihi course utaanza kusomea civil yako level ya diploma for 3yr na baada ya dploma unawepga dgree wapo fresh muhmu ujiweze katika hesabu ilo ndio zao lao kuu.ol the best
 
thax mkuu
 
Mhandisi mtarajiwa,usimsikilize huyu!usibembeleze negative thoughts! Kwanza upate motivation kwa wasioamini unaweza. Kazi kwako,utuambie graduu,I personally nitakutumia zawadi.
Tikerra,unataka kutuambia CPA ni rahisi kuliko civil eng? Huu ni upotoshaji wa makusudi!
Uwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
 
Uwezo wako kimasomo ni mdogo sana.Katika hali ya uduni wa elimu wa sasa na bado perfomance yako ndio hiyo,hata kama utarudia na kufaulu,bado huko mbele utapata shida sana.Engineering sio admin,economics au accountacy.Usinie makuu kuliko uwezo wako,jifit mahali panapo kufaa.Nakushauri ujiendeleze zaidi katika fani hiyo hiyo ya uhasibu hata kufikia ngazi ya CPA.Najua umekunwa na umahiri wao hapo kazini kwenu.
mkuu nashukuru kwa mawazo
ukweli ni kwamba tangu nipo primary nilikua naipenda sana fani hii,kwani nyumbani kwetu tulikua tunaishai na ma-engineer wa Nyanzaroad wakiwa katika moja ya mradi wao wa ujenzi wa barabara hapo ndipo nilianza kukunwa na fani hii.
Si kwamba nazibukia kuipenda tu kwa sababu ya wafanyakazi wanao nizunguka no!kimasomo nilivuruga kutokana na hekaheka za kifamili(ni historia ya kusikitisha)lakini nipo fiti kiubongo sijisifu ila najikubari
 
Mhandisi mtarajiwa,usimsikilize huyu!usibembeleze negative thoughts! Kwanza upate motivation kwa wasioamini unaweza. Kazi kwako,utuambie graduu,I personally nitakutumia zawadi.
Tikerra,unataka kutuambia CPA ni rahisi kuliko civil eng? Huu ni upotoshaji wa makusudi!
mkuu nashukuru kwa kukubali kukaa mbele yangu kupambana kwa ajili yangu!
Wanasema mficha uchi azai na vilevile wanasema palipo na wengi hapaharibiki jambo.wakati najiandaa kuwasilisha fikra zangu hapa kwa wanajamvi nilijua wapo watao nikatisha tamaa,watakao nitia moyo na kadhalika,sikuzote mwanzo wasafari ni mgumu,nakushukuru king'asti kwa kunipa moyo.ninavyo fahamu hakuna kozi nyepesi kwakua wote uingia chuo wakiwa weupe kabisa na mitihani ndio kipimo cha uwelewa.
Ntaianza safari kwa chuo chochote hata kama ni veta yote ni safari na mungu ndio anayeijua mwisho wa safari yangu.
Sijachoka maoni yenu wadau naitaji njia ya kufika kwenye ndoto ya engineer tena ambaye ni msajiliwa
 
Back
Top Bottom