Nifanyeje kudownload video?

Anita Baby

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
1,265
539
Na2mia nokia xpresmusic 1530. Kila nikidownload video naambiwa invalid web seting. Nifanyeje?
 
Configuration za simu yako hazipo sawa....kama vp nenda ofisi za provider wako (i.e Voda, TIGO ZAIN) waambie kuhusu hiyo error watakusaidia...
 
Ey Nita jus nenda kwenye settings den kwenye Configrtns den make em default kwenye all all appl.
 
mi sjaelewa huwezi kuingia web au huwezi kudownload? Maana ni ajabu web iingie then kudownload ikatae then tuseme tatizo ni configuration.

Halafu kitu chengine kikubwa hamna nokia inayoitwa 1530 xpressmusic emb angalia tena aina ya simu yako
 
haya kama kamaanisha hivo basi achunguze aina ya video anayodownload na ni vizuri kudownload na browser ambayo si ya simu kama opera na ucweb
 
We msukuma? Mbona huelewi? Mm nlishatumia hiyo simu na najua hilo tatizo xana tuu! Na ipo njia nyingine ya kuisolve ila complicated! Usibishe kushinda yo Abnoxious man...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom