Nifanyeje Kuchange group name

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
Nimefungua group hapa JF ila natak kubadilisha jina lake kutokana na ukweli kuwa malengo na mtizamo wa group umebadilika kidogo.
naomba msaada jnsi ya kubadilisha group name, maana naona option za kuedit vitu vingine ila sio group name.
 
Back
Top Bottom