Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje Jamani?????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hatujuwani, May 8, 2012.

 1. Hatujuwani

  Hatujuwani Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari waungwana!!!

  Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je nifanyeje na Bodi nilishakwenda mara kibao na kuambiwa niko kwenye system lakini mpaka sasa hamna chochote kinachoendelea?

  Ushauri tafadhali!
   
Loading...
Similar Threads - Nifanyeje Jamani Forum Date
Jamani bodi siwaelewielewi,nifanyeje wadau? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 28, 2013
naombeni msaada jamani, nifanyeje?? tcu wamenifanyia hivi Jukwaa la Elimu (Education Forum) Aug 22, 2012
jamani hawa tcu nifanyeje Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 5, 2011

Share This Page