Nifanyeje ilikupata hisia za mapenzi???

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,167
Naombeni ushauri au msaada wenu mim ni jinsia ME nina 25yrs nina kama 7 yrs hivi sija fanya mapenzi.
Hivi karibun baada ya watu kunishauri japo nitafute hata kadem niwe nakamua kuondoa strees.Kweli nimejaribu na kukutana na hali ya kutokuwa na hisia zozote juu ya mwanamke sometime huwa nakuwa na hamu ya kuongea na mwanamke lakin ndani ya dk kadhaa hali hiyo hubadilika na kutohitaji kuongea na she yoyote yule.
Kuna siku niliingia mkenge akawa ananishika shika kwa kweli mwili wangu haukuwa na mwitikio(hisia) wowote ule.Naamin hata mwanamke anivulie chupi na kukaa uchi sitaman kabisa.
Tatizo hali ya kutaman na hisia za mapenz hunijia mara chache sana.

Je nifanyeje kuboost/kuamsha hisia za mapenzi japo hata niwe na hali ya kutaman tu???
 
Usifanye chochote. Endelea hivyo hivyo kwa sababu haikupunguzii chochote. Mimi natamani ningekua kama wewe. Ma she wanapoteza muda na pesa, na risk ya magonjwa. kuwa mtumishi wa mungu tu
 
Katafute kademu kamoja hivi kanaitwa ka Lizzy. Nna uhakika kwa nguvu za kahirizi kake hali yako itabadilika nyuzi 180.
 
Naona ka Lizzy kamelala saa hizi manake jana na juzi kamekesha hapa JF.

Btw, heri na fanaka za mwaka mpya katibu.
Heri kwako pia rais.

You never know, pengine kanakuota wewe mida hizi.
Halaf ile ishu nimegundua bana, kweli haukuwa wewe (sorry again), hope bado unaikumbuka?
I was vere wrong and I admit (lakini uchune usiifufue)
 
Hahaha hapana shaka katibu. Hayo si ndwele tena.
 
Je nifanyeje kuboost/kuamsha hisia za mapenzi japo hata niwe na hali ya kutaman tu???
Kutamani tu bila hisia yoyote kwangu mimi ni upuuzi (wengine wako huru kufikiria vinginevyo). Naamini kabisa utatamani pale utakapo pata mwanamke anae shtua hisia zako. Focus on finding mwanamke huyo kuliko kufocus on matamanio ya mwili.
mara za mwisho ulishiriki tendo la ndoa kuna kitu kilikukera?
 
pole, kijana.
Kabla sijasema mengi, je unatamani wanamme kwa jinsi yeyote?
 
Nimeunganisha hii thread na ile ya Hasira, nimesha pata jibu... nitafute haraka nikwambie cha kufanya
 
Heri kwako pia rais.

You never know, pengine kanakuota wewe mida hizi.
Halaf ile ishu nimegundua bana, kweli haukuwa wewe (sorry again), hope bado unaikumbuka?
I was vere wrong and I admit (lakini uchune usiifufue)

Kwahiyo lawyer uko tayari kusaidia mkataba feki upitishwe? Maana sijaona uliposhauri haifai.
 
Usifanye chochote. Endelea hivyo hivyo kwa sababu haikupunguzii chochote. Mimi natamani ningekua kama wewe. Ma she wanapoteza muda na pesa, na risk ya magonjwa. kuwa mtumishi wa mungu tu
Kweli we ni iMind, umemshauri vizuri sana..
 
Kwajinsi ilivyo tamu tena umpate mwenye machejo ya kichangu kuanzia maneno mpaka pooltable utajichukia kwanini halinahisia hilo linanilio nalo
 
Usifanye chochote. Endelea hivyo hivyo kwa sababu haikupunguzii chochote. Mimi natamani ningekua kama wewe. Ma she wanapoteza muda na pesa, na risk ya magonjwa. kuwa mtumishi wa mungu tu

Hii nimeipenda mkuu! Ila kiafya haijakaa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom