Nifanyeje ili nimpate wolper?

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Wanasema ucshangae kumwona kenge anakimbia mvua na kuelekea majini,matone ya mvua yanamaumivu yke,ndio kwngu jaman najtahd kuaacha kumfkilia nmeshndwa.Naomben mnshaur labda ushaur wnu utansaidia kuacha kumfkilia.
 
Fanya jitihada umuingize JF kwanza... Halafu rudi tukusaidie...
 
hujaweka sawa topic yko" umemaanisha kutoka nae? au unataka kumfanya awe mwenzi wako wa maisha? kabla haujailuhusu akili yako Itamani mrembo huyu awe mama wafamilia yako jalibu kujiuliza kiliwakuta nini mastaa hawa nature&sinta,wema sepetu&kanumba,H baba&uwoya,tyson&monalisa,uwoya&ndikumana,flora&ambani, hao nibaadhi lkn wapo wengi..... sijui unafanya kazi gani lkn uamuzi niwako" binafsi nakushauli utulie na kumthamini uliye nae lkn kama unataka kuwa mtumwa au kuteseka na mapenzi sogea kalibu ya viumbe hao pia kabla hujafanya maamuzi jiulize wao kwa wao wanashindwana wewe utaweza?
 
asante kwa ushaur wko,ila nliachana na wngu tangu 4m 3,mpka leo.
 
Kabla hata hujaonana naye hakikisha una mambo yafuatayo,una kazi au biasharg ya maana,una gari la kifahari,jumba la kifahari,handsome,account yako iwe inasoma si chini ya milion 500,safari nje ya nchi kila weekend,usiwe na wivu hata ukimkuta wengine,vinginevyo unajisumbua tu,au mfikirie mwingine.
 
swala la gari,nymba co tatzo,ila kwnye pesa.mmh napenda pesa sna mie,na kuhsu ml 500,hpo pabaya.
 
tafuta kazi ya u-houseboy nyumbani kwake, then uwe unampiga chabo akienda kuoga... siku akikubamba, funguka live kwamba umemzimia...
 
Nenda ukachukuwe dawa kwa mganga aliye karibu nawe. Labda atakufata yeye mwenyewe.

If you want wolper, you have to tell wolper. Unless kama una uhakika kuwa wolper ana telepathy kugundua kuwa unammind.

GO TELL WOLPER ABOUT IT.
 
Back
Top Bottom